Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,175
- 48,459
Siyo jina si nasaba, Mayalla ninakwambia,
Ni malezi yaso baba, zamani alikimbia,
Akabaki mama haba, Uzinzi kajipambia,
Hajafunzwa na mamaye, dunia itamfunza!
Ni malezi yaso baba, zamani alikimbia,
Akabaki mama haba, Uzinzi kajipambia,
Hajafunzwa na mamaye, dunia itamfunza!