Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na mwanamke wangu. Ndiye ananiweka mjini

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,691
Wakuu,

Huyu Shahidi mwanzoni alisema kuwa anaishi Moshi Kiranyi. Lissu akamuuliza kuwa nani kampa nauli ya kuja kutoa ushahidi kwenye hiyo kesi, akasema kuwa hiyo nauli kapewa na mwanamke wake na ndo ambaye anamuweka mjini

Mhe. Lissu: Umekujaje Mahakamani leo?

Shahidi wa kificho P7 : kwa miguu

Mhe. Lissu: Toka kiranyi?

Shahidi wa kificho P7 : Kwa Basi.

Mhe. Lissu: Nani alikupa nauli?

Shahidi wa kificho P7 : Mwanamke wangu.

Mhe. Lissu: Nani anayekuweka mjini hapa?

Shahidi wa kificho P7 : Mwanamke wangu.

Mhe. Lissu: Je tangu walipoandika maelezo yako Polisi tarehe 17/04 mmekuwa mnawasiliana na Mapolisi

Shahidi wa kificho P7 : Hatujawahi kuwasiliana tena

Soma Pia:
 
Wakuu,

Huyu Shahidi mwanzoni alisema kuwa anaishi Moshi Kiranyi. Lissu akamuuliza kuwa nani kampa nauli ya kuja kutoa ushahidi kwenye hiyo kesi, akasema kuwa hiyo nauli kapewa na mwanamke wake na ndo ambaye anamuweka mjini

Mhe. Lissu: Umekujaje Mahakamani leo?

Shahidi wa kificho P7 : kwa miguu

Mhe. Lissu: Toka kiranyi?

Shahidi wa kificho P7 : Kwa Basi.

Mhe. Lissu: Nani alikupa nauli?

Shahidi wa kificho P7 : Mwanamke wangu.

Mhe. Lissu: Nani anayekuweka mjini hapa?

Shahidi wa kificho P7 : Mwanamke wangu.

Mhe. Lissu: Je tangu walipoandika maelezo yako Polisi tarehe 17/04 mmekuwa mnawasiliana na Mapolisi

Shahidi wa kificho P7 : Hatujawahi kuwasiliana tena.
What does that translate to?
 
Itakuwa mkiristo huyo tu. Au nasema uongo?
 
Kapewa na poli CCM huyo, njaa za vijiweni mbaya sana kwa vijana.

Mwanamke gani mwenye akili zake akupe hela mtu mjinga mjinga ka ww, yaani akupe hela zake, akulishe, pa kulala na "K" yake juu - aisee una bahati sana P7.
 
Wakuu,

Huyu Shahidi mwanzoni alisema kuwa anaishi Moshi Kiranyi. Lissu akamuuliza kuwa nani kampa nauli ya kuja kutoa ushahidi kwenye hiyo kesi, akasema kuwa hiyo nauli kapewa na mwanamke wake na ndo ambaye anamuweka mjini

Mhe. Lissu: Umekujaje Mahakamani leo?

Shahidi wa kificho P7 : kwa miguu

Mhe. Lissu: Toka kiranyi?

Shahidi wa kificho P7 : Kwa Basi.

Mhe. Lissu: Nani alikupa nauli?

Shahidi wa kificho P7 : Mwanamke wangu.

Mhe. Lissu: Nani anayekuweka mjini hapa?

Shahidi wa kificho P7 : Mwanamke wangu.

Mhe. Lissu: Je tangu walipoandika maelezo yako Polisi tarehe 17/04 mmekuwa mnawasiliana na Mapolisi

Shahidi wa kificho P7 : Hatujawahi kuwasiliana tena.
muhaini kachanganyikiwa na ndio maana anapata njaa kali sana akiwa kizimbani,

mbona maswali nonsense na useless sana kumnusuru asitiwe hatiani na kunyongwa? :1Head:
 
Hivi inakuaje binadamu wenzetu wanakubali kwenda kushuhudia uongo? Yaani unaanzaje kunishawishi?
 
Back
Top Bottom