Shahada ya uzamivu (PhD) ya Mwakyembe si halali?

Shahada ya uzamivu (PhD) ya Mwakyembe si halali?

Huyu FISADI wa ELIMU alisomea PhD yake katika chuo cha Hamburg University. PhD Dissertation title yake: anzania's eighth constitutional amendment and its implications on constitutionalism, democracy and the union question (Printed for mass consumption with ISBN: 3-8258-2424-1)

Kwakweli inasikitisha na inatia aibu kubwa kwa kiongozi mkubwa kama huyu, tena alikwisha kuwa muhadhiri katika chuo kikuu. Kwa tukio hili la kuisaliti utafiti wake uliompatia title kubwa anayoendelea kuitumia mpaka sasa, ni dhahiri hakustahili kufanya majukumu yanayolingana na taaluma aliyohitimu kwa tafiti hii. Msaliti huyu amesimamia wanafunzi wengi na kufanya kazi nyingi zinazolingana na taaluma yake, hivyo output yote inawezekana ni feki. Tunalalamika elimu yetu inashuka kiwango, kumbe kunawatu wamethaminiwa kusimamia, na kufanya utapeli unaoligharimu Taifa. Ni dhahiri pia kazi hii imetumika na watafiti wengine katika kazi zao, kwani it was published for mass consumption. Hivyo imeweza kugharimu kazi nyingine za watu kwa udanganyifu aliouandika kama matokeo ya tafiti yake.

Du hii sasa hatari hivi kuna sehemu amesema sasa anaunga mkono mbili? maana ndani ya CCM kuna watu wanaunga mbili na wengine tatu!
 
Mwakyembe ni Jembe ! Penda usipende. Ninauwakika atakapojibu ndio Watu watajua.
 
Kutokana na nukuu zinazoendelea kutolewa na wachambuzi mbalimbali (Hapa namuongelea Lissu) katika mchakato wa katiba mpya, imethibitisha pasipo shaka kuwa Mh. Dr. Mwakyembe anakikana kile alichokiandika miaka ya Tisini ili kupata udaktari wa falsafa (PhD).

Katika kitabu chake alinukuliwa akisema kuwa muundo wa muungano wa Tanzania ni shirikisho pasipo na shaka, na kuthibitisha kuwa migogoro itamalizwa kwa kuwa na serikali tatu! Ni kwa hoja zake hizo aliweza kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD). Sasa kwa kuwa anazikana hoja hizo maana yake ni kuwa alipotosha watu katika utafiti wake!

Aidha aliegemea upande ambao alikuwa anautaka (bias) au aliamua kufuata wengine walisemaje!Sasa kwa kuwa hata yeye hauamini utafiti wake je sio haki yake kuondolewa udaktari wake!?

Prof. Shivji nae ameyakana maandiko yake ya miaka ya 90, ambayo mengine aliyatumia kupanda cheo mpaka kuwa profesor, je nae sio haki yake ashushwe cheo hicho?

Nawasilisha.

Mambo yanabadilika kulingana na mahitaji ya wakati mkuu...Ndiyo maana tafiti zinaendelea kila siku... Sina hakika sana kama Shvji ameacha kufanya utafiti, Sina hakika kama Mwakyembe anaendelea kuandika papers!...
 
Du hii sasa hatari hivi kuna sehemu amesema sasa anaunga mkono mbili? maana ndani ya CCM kuna watu wanaunga mbili na wengine tatu!

Aseme sasa, maana ameshashutumiwa ila amekaa kimya bado. Inamaana anakubaliana na msimamo wa chama na kusaliti utafiti wake.
 
Aseme sasa, maana ameshashutumiwa ila amekaa kimya bado. Inamaana anakubaliana na msimamo wa chama na kusaliti utafiti wake.

Ahaa Kumbe mimi nilidhani amesema! sasa nimeelewa.
 
This is a new low for Lissu Sympathizers,Just admit the guy blew it by letting the mouth control the talking instead of involving his brain. In one side he shames Nyerere, another side he is shaming CCM for now listening to Nyerere and faithfully follow his policies, which is which?why should CCM follow policies of a lair as per Lissu assertions?

Baring gross irregularities in ones PhD, there is absolutely no viable reason to discuss the validity of Mwakyembe's credentials, unless you have no idea whats involved in level 8 qualifications.

The entire premise of research at that level is original thinking, and its actually plausible for this line of thinking to be modified over time,same way Newton being Utterly wrong with regards to laws of physics doesn't make Cambridge waive his mathematics professorship postmortem.

Steven Hawking has made several comments with regards to his the bing bang theories and some of them are exact opposite of what he proposed many years ago.in fact i know a guy who even disputed some of the findings in his PhD:
see here:American Press Association - Cosmologist Solves NASA Mystery

Stephen personally acknowledged to some discrepancies and has published several works that has taken the light of these new revelations.
Even people with extraordinary brains such as Nash,or Von Neumann were wrong from time to time, and these were the kinds of brain who could solve Riemannian manifolds, Euclidean computations in their head half asleep were still wrong in their early assertions.
If these geniuses by earthly standard made retractions on their previous work,why should Mwakyembe remain static?Not that he cares as i believe he is no longer doing active research.

I can not imagine any academic settings where people will be afraid to pen down what they believe to be right for the mere worry of having to be wrong. Do you understand the courage it takes to work on research,performing the same damn experiment for 3-4 years?and almost exactly be wrong 99% of the time until that Eureka moment comes through? Research is not based on being right, rather on original thinking and formulating of clear hypothesis.

Infact you would be shocked to know how many PhD dissertations are wrong year in year out. a 300 page thesis does not need to be 100% accurate to contribute to knowledge, sometimes being wrong is crucial for the next researcher who is going to write a literature review of your work(what Lisu is doing) for seeing past mistakes is seen in research as the first step towards solving any problem.
 
Wacha uzushi wewe. Hanyang'anywi mtu shahada yake hapa. Labda kama hujui akademia zinafanyaje kazi. Kwanza niseme sishabikii kabisa wazo analoliunga mkono sasa. Lakini kwenye akademia mambo kama unavyofikiria. Unaweza ukaandika na hata mwenyewe miaka michache baadae ukasema ulikuwa umekosea pale. Ukiandika tasnifu haina maana kwamba mawazo yameandikwa kwenye mawe na hayabadiliki. Kinachotokea ni kwamba kwa ushahidi ulio nao, umefikia hitimisho fulani. Kila siku unajifunza mambo. Na kesho ukapata ushahidi mwingine, unasema, kumbe nilikosea pale. Na hakuna atakayekunyang'anya shahada yako, labda waone ulidanganya kwa makusudi.
 
Tafiti ngapi haziendani na uhalisia?? His paper was just an ideal and some time it is very difficult to put into practice. Maana yake ni kwamba siyo kila kitu kinachoandikwa kwenye makaratasi kinaweza kutekelezeka katika mfumo wa maisha ya watu. Usipaniki brother!

Labda kwa siasa kwa kuwa siyo kitu kinachoonekana kwa macho! Lakini kwa tafiti za mambo yanayoonekana kama zile za Kisayansi na Kihandisi, utapata jibu linaloeleweka, na kinachofuata ni namna ya kufanya improvement kama kuna mapungufu( katika recommendations)!
 
kaazi kwelikweli!Eti leo kajibu hoja!Mie niseme sijasikia majibu isipokuwa kulaumu,kukejeli na kudharau kisa tu eti ni wanafunzi wake!Mwalimu hakosei eeh?
 
Leo asubuhi amejitetea kwa kusema mambo ya kisomi hayatizamwi juu juu kama walivyofanya wapinzani wake. Wasome neno kwa neno then mtaelewa alichokusudia.
 
Leo asubuhi amejitetea kwa kusema mambo ya kisomi hayatizamwi juu juu kama walivyofanya wapinzani wake. Wasome neno kwa neno then mtaelewa alichokusudia.

Usomi upi ambao anao yeye peke yake?
 
Msameheni Mwakyembe, wengi wetu tunajua alivyo umwa na madawa aliyo tumia lazima bado yako kichwani.
 
Ukiingia CCM akili huwa unaiweka mfukoni na kumfuata -------- yeyote atakaye kuelekeza cha kufanya. Mithiri ya misukule.
 
Kutokana na nukuu zinazoendelea kutolewa na wachambuzi mbalimbali (Hapa namuongelea Lissu) katika mchakato wa katiba mpya, imethibitisha pasipo shaka kuwa Mh. Dr. Mwakyembe anakikana kile alichokiandika miaka ya Tisini ili kupata udaktari wa falsafa (PhD).

Katika kitabu chake alinukuliwa akisema kuwa muundo wa muungano wa Tanzania ni shirikisho pasipo na shaka, na kuthibitisha kuwa migogoro itamalizwa kwa kuwa na serikali tatu! Ni kwa hoja zake hizo aliweza kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD). Sasa kwa kuwa anazikana hoja hizo maana yake ni kuwa alipotosha watu katika utafiti wake!

Aidha aliegemea upande ambao alikuwa anautaka (bias) au aliamua kufuata wengine walisemaje!Sasa kwa kuwa hata yeye hauamini utafiti wake je sio haki yake kuondolewa udaktari wake!?

Prof. Shivji nae ameyakana maandiko yake ya miaka ya 90, ambayo mengine aliyatumia kupanda cheo mpaka kuwa profesor, je nae sio haki yake ashushwe cheo hicho?

Nawasilisha.

Usiwapotoshe watu kwa kuwa wewe huelewi kitu! Ni heri ukatulia kujifunza kuliko kupoteza mda,ukijifanya mjuaji na huku huelewi.Msomi hawezi kuwa mtumwa wa tafiti zake,hubadilika kulingana na ukweli wa mabadiliko ya nyakati.Pengine ungesema waliomtunuku nifeki pia.Ila huwezi sema hivyo kwakuwa mwekyembe hayuko upande wako.Nakupa pole
 
Ni kweli msomi hawezi kuwa mtumwa wa tafiti zake kwasababu kadri ya mabadiliko ya nyakati na hata mazingira utafiti wake unaweza kuhojiwa na kusahihishwa. Lakini ni jukumu la Mwakyembe kujitokeza wazi na kuongea kisomi ni kwanini sasa haamini tena kulingana na utafiti wake wa awali.

Njaa,unafiki,woga ukijumlisha pamoja na kwamba Waafrika wengi wanasoma kupata maisha mazuri siyo kuelimika na kuisaidia jamii yao ndizo sababu zimebadili msimamo wa Mwakyembe. Na ninao uhakika usio na shaka kabisa kwamba hatajitokeza kujitetea kisomi kwanini ana msimamo tofauti na utafiti wake.
 
Usiwapotoshe watu kwa kuwa wewe huelewi kitu! Ni heri ukatulia kujifunza kuliko kupoteza mda,ukijifanya mjuaji na huku huelewi.Msomi hawezi kuwa mtumwa wa tafiti zake,hubadilika kulingana na ukweli wa mabadiliko ya nyakati.Pengine ungesema waliomtunuku nifeki pia.Ila huwezi sema hivyo kwakuwa mwekyembe hayuko upande wako.Nakupa pole
Nimepotosha nini mkuu!Na mie sielewi nini?Mie nimehoji tu, watu wenye uelewa watuelimishe!Lakini naona watoka povu tu!Nakubaliana nawe kuwa msomi hawezi kuwa mtumwa wa utafiti wake na kuwa mtazamo unaweza kubadilika kulingana na ukweli halisi,lakini kisomi mtu anatakiwa aseme kuwa kabadili huo msimamo na aweke wazi sababu zake!Waliomtunuku hawawezi kuwa feki kwani waliamini kuwa alichokiandika ndicho mwakyembe anachokubaliana nacho, sasa kosa lao lipi hapo!Nadhani huna hoja kama UKAWA (maana siamini kama katiba itaandikwa nje ya bunge) bora ukae kimya mkuu! Mie ni moja kati ya watu tunaokubali sana utendaji wa mwakyembe hoja kuwa mie sio wa upande wake inakinzana na ukweli halisi au unataka nisimtendee haki!mie MTENDAHAKI au umesahau!
 
Last edited by a moderator:
mtazamo tofauti kwenye utafiti unaruhusiwa na unaweza kuukanusha utafiti wa awali!Lakini mwakyembe hajafanya hivyo!
shida ni pale msomi bila ya kufanya utafuti anaposhambulia mtazamo/hoja iliyojengwa na utafita, Tena na yeye akiwa jati ya watafiti hao.
 
Back
Top Bottom