tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Imebainika kuwa asilimia 80 ya shahada hizo si halali. Walakini wa shahada hizo, umebainika kupitia utafiti uliofanywa na Dk Eliamani Sedoyeka wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) cha jijini Dar es Salaam. Katika utafiti huo, mhadhiri huyo, amebaini kuwa wahitimu wengi ama wameiba au wamenakili tafiti zao za mwisho kutoka katika tafiti za watu wengine au kwenye mitandao.
My take: Vyuo vikuu vinapaswa kuwa na mikakati ya kutafuta namna ya kubaini udanganyifu, vinginevyo tutakuwa na Doctors wa ajabu ajabu.
Source: Gazeti la Mwananchi
My take: Vyuo vikuu vinapaswa kuwa na mikakati ya kutafuta namna ya kubaini udanganyifu, vinginevyo tutakuwa na Doctors wa ajabu ajabu.
Source: Gazeti la Mwananchi