Shafiidauda aangukia pua drfa abaki kubwabwaja clouds fm

Hivi Shaffih dauda ni mshabiki wa timu gani hapa Bongo? Maana kila leo nasikia amezidisha ushabiki nimejaribu kumfuatilia mapenzi yake yako wapi nimeshindwa kung'amua. Ila jamaa kwa criticisms hajambo.

Huyo Manchester huwa wanavunga na mwenzie edo kumwembe ni wa livapul

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wanadai alitumwa na alikuwa kikazi zaidi ya kuomba kura,wamekuja na report ya madudu na rushwa nje nje ndio maana wanasema uchaguzi ni batili!
 
Tatizo kubwa la Tanzania, watu hawapendi facts hata wawe wana elimu vp! Watu wamejaa ubinafsi hawapendi kukosolewa! Kuna mtu hapo anajohi kama Shaffih kapita shuleni, kwa wale wanaomjua wanaona kabisa mtu ukijohi hivyo una chuki binafsi! Hata kama angekuwa hana elimu, tunatakiwa kuchambua anachosema kama kina ukweli, dunia hii ingekuwa kila mtu Professa ingekuwaje???? On other hand kushindwa kwa jamaa DRFA kunaleta picha gani kwenye soka letu, mtu unapofurahia yeye kushindwa una faida gani na hao wanaoshinda! Na sio yeye tu, Ally Mayay naye ameshindwa.......! Sjui tuna kizazi gani leo kisichojua kupambanua mambo!
 
Huyo Manchester huwa wanavunga na mwenzie edo kumwembe ni wa livapul

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Shafi ushabiki wake upo wazi ni manure urinated..

Alafu.ngeli huwa inanichosha
 
ule haukua uchaguzuzi ila ni wizi tu,hata wewe usingeshinda hivi bado kuna watu wanaziamini chaguzi za kitanzania,mwenzao tenga kanogewa kahonga wajumbe wabadilishe katba kinyemela.
 
Kwa upande wangu namkubali sana shafii dauda ktk uchambuzi wa soka hasa habari za kimataifa za kispoti

Jeff peke yake ndo kichwa pale, hao akina Shaffi Dauda wanaunga unga tu! Na ndio maana wanaanza kukimbilia uongozi.
 
mimi sijavutiwa na heading, ilifaa isomeke hivi ''Shafii Dauda ashindwa uchaguzi DRFA'' ingeeleweka vizuri tu.
Kuhusu kipindi chake, Shafii anawasaidia wale ambao hawawezi kukopi na kupesti kupata the latest from around the globe, hasa wale wanaoitegemea radio kujua mambo mbalimbali, si kila mtu anaweza kuingia internet, so Shafi anachojaribu ni ku-share kile anachokijua kupitia hiyo mnayoiita copy-paste na wale ambao wanataka kujua mambo ya Rooney, Chamack, Falcao na hata magoli 90 ya Lionel Messi.
 
Kaharibu hata blog yake coz of ushabiki Kama yy mwandishi wa habar hatakiwi kuonesha mapenzi au naslah flan na timu flan
 
Back
Top Bottom