njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
- Thread starter
- #21
ndiyo maana nashngaaa hapa kuna watu wansema agh achana nayo maneno ya kijiweni hayo....nitashangaa sana kama wachezaji au mamaneja hawatakanusha hili anyway kama wao wanaona sawa ni poa tu tutawasubiri hiyo tarehe nane na michezo mingine tuone jinsi hicho kishika uchumba cha GSM kwa zimbwe na kapombe kinavyofanya kaziHuyu Dauda ni mtu hataru sana.Ni mtu anayeonekana kufaidika na migogoro ya Simba.Anatamani ari ya wachezaji iwe chini,ikibidi Simba iadhibiwe tarehe 8.
Kusema kweli naanza kuona jinsi Mo anavyopigwa vita na wapiga dili akina Dauda.
Upo uwezekano wa wachezaji anaowataja kuuza mechi tarehe 8 ili kum frustrate Mo.
Nimesikia huyu huyu Shaffi ni mmoja wapo wa watu wanaochochea mgogoro wa Simba na FCC.Hii ni roho zaidi ya uchawi.Walichochochea mgogoro Stand United sasa hivi hawajui hata timu inaelekea kushuka hadi daraja la tatu.Mimi ukiniambia uswahili,sio wa wale wazee bali ni wa hawa wasomi vilaza wanaodhani wao ni lazima wafaidike na mapato ya Simba kwa kuanzisha migogoro hasa wakati wa mechi muhimu
Uisasahau alichochea pia mgogogoro wa ramadhan singano akampeleka azam fc ndiyo maana namshangaa zimbwe junior alikuwa na ulazima gani wa kumlipa Shafih dauda awe attacking dog wake mbona angesikilizwa tu na viongozi?badala yake chawa wake dauda kaitukana club hadi lipstick za Barbara matusi yote kwa ajili ya mkataba wa zimbwe ambaye keshakula advance money ya GSM
kama aliona wanamdharau angetuaga mashabiki vizuri kwamba kapata maslahi Yanga ona sasa huku kachukua hela za simba na huku ana kishika uchumba cha GSM cha pre contract yeye na kapombe kuna nini zaidi ya kuuza mechi hapo?