Shafi Dauda ni mkweli

siku hizi ITC ndo ushahidi wa mchezaji yuko wap na anamilikiwa na timu gani,na unaweza ona hilo online and on real time!Kiingereza kinasumbua watu wengi sana! Mkitaka kujua okwi ni ruhusa au si ruhusa kucheza yanga,someni kwa makini para.3,4&5. Kama hamuelewi muiteni mwanasheria awatafsirie kwani kuna lugha za kisheria ndani yake.
 
Very good. You are the greatest minded. Mckurupuke 2 na hcia zenu
 
unajua okwi kashamalizana na tff pale alipoenda etoile,,hivyo basi itc yake inapaswa kutoka uganda na fufa sio wapumbavu kama wameshamruhusu kucheza kelele zinatoka wapi,,,,sitaki kujiaminisha shafii anatumia events kupata umaarufu na sio weledi wake
 



Yeah! Kama CCM na CHADEMA vile.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…