'shaffih dauda the octopus' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'shaffih dauda the octopus'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzalendowetu, May 22, 2012.

 1. M

  Mzalendowetu Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kwa muda mrefu, nimekuwa mfuasi mzuri watovuti ya michezo ya www.shaffihdauda.cominayomilikiwa na Shaffih Dauda wa Clouds. Lakini huyu jamaa amekuwa akinikerasana kutokana na kuwa mtabiri wa matokeo ya baadhi ya mechi za mpira wa miguu.Wakati Chelsea ikicheza hatua ya nusu dhidi ya Barcelona, huyu jamaa aliipanafasi finyu sana Chelsea ya kuingia hatua ya fainali, lakini matokeo yakawatofauti. Hiyo haitoshi, wiki iliyopita katika mechi ya fainali baina ya Chelseana Bayern Munich, huyu jamaa aliandika maneno haya:
  "BAYERN YENYE SAFU KALI YA USHAMBULIAJI NA BEKI MBOVU DHIDI YACHELSEA YENYE PENGO KUBWA LA RAMIRES……." Aidha chini ya kichwa cha habarihicho kulikuwa na baadhi maneno kama:
  "BayernMunich moja kwa moja wanaingia kwenye mchezo kama timu yenye nafasi kubwa yakushinda . Ukiangalia baadhi ya factor nyingi za ushindi ziko upande wao.Ukiangalia wachezaji watakaowakosa ni tofauti na wale watakaokosekana naChelsea. Munich itawakosa Luis Gustavo, David Alaba na Olger Badstubber".
  "Ukiitazama Chelsea ambayo itacheza leo ndiounapata taswira halisi ya jinsi walivyo kwenye wakati mgumu wakicheza naBayern".
  Baada ya mchezo huo wa fainali kumalizika na Chelsea kutawazwa mabingwa wapyawa UEFA, jamaa aliandika:

  "CHELSEA WALITULIA SANA KATIKA UPIGAJI WAPENATI JAPO MASHABIKI WALIZOMEA"
  "WANAUME WA EUROPA CHELSEA WAREJEA LONDON"

  Huyujamaa namshauri aache kuwa mtabiri kama 'Paul the Octopus'. Aelewe kwamba:
  · Kwenye mpira wa miguu matokeo yeyote yanaweza kutokea.
  · Matokeo ya mechi ni zaidi ya uzuri au ubaya wa timu auushabiki wako katika timu mojawapo
  · Yeye kama mmiliki wa tovuti, anahitaji wateja wote bilakujali tofauti zao za ushabiki wa timu. Unapotabiri halafu matokeo yakawa tofautiinamaana unajenga chuki na baadhi ya mashabiki hivyo kupunguza wateja wako.   
 2. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Clouds imejaa vilaza...wenye akili zao pale wanacheza kwa step
   
 3. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  wewe huna cha kueleza ukaeleweka ktk tasnia ya soka coz km ni swala la utabiri wametabili wengi huyo dauda ni mdogo sana.au nadhani ni mfuatiliaji sana wa hapa bongo.waliotabili km chelsea ingepoteza ni espn, baadhi ya wadau wakubwa wa super sport hayo ni makampuni ila ukija kwa watu binafsi ni km wenger,alan padew, harry rednap na wengine wengi.mi nadhani kutabili co kosa na inatokana na factor zinanzoonekana.hata huyo dauda alitabili kwa factor ambazo nadhani hata espn walitoa the same.kombe mmeshachukua acha kuvuja povu jo...
   
 4. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwani maana ya utabiri ni nini jamani? kuna waliotabiri Chelsea atashinda na kweli ameshinda, kwa hiyo waliotabiri Chelsea hatashinda tu ndio waache? hivi UTABIRI maana yake nini hasa wa katika michezo kama soka?
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Yu bwana anaonekana na mpenzi sana wa shaffi sasa anaumizwa naye kwa utabili wake, mkuu ndo hivyo vumilia tu la sivyo usimfuatilie tena!
   
 6. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ............ Wewe simply hujui mpira ! Shafii ni mchambuzi wa mpira na mara nyingi wachambuzi hutumia ' SWOT' analysis. Na hiyo husaidi katika conclution, uzaiva !!?
   
 7. rweyy

  rweyy Senior Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  yeye ni mchambuzi mzuri sana wa soka na pale alichambua ki ufundi zaidi.kilichotekea uwanjani ni bahati kwa wanaojua soka hapo wanaelewa.mi si mlaumu sana shafih ingawa ili niuma sana nilipo kuwa nikisoma kwenye tovuti yake.lakini hata yeye kajifunza kuwa katika soka bahati ina nafasi yake.
   
 8. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Pa1 na rekodi ya timu yoyote ile, siku ya mechi na hasa zile dkk90 ndo huamua vizuri. Haya mengine ni mbwembwe za wachambuzi.
   
Loading...