dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,676
- 18,577
Mimi nilidhani yuko Qatar kumbe karudi ili kuhudhuria mkutano mkuu mkubwa wa CCM utakaofanyika tareh7-8/12/2022 mjini Dodoma.
Pia na mimi najiandaa kuanza safari usiku huu kutokea Chunya, Mbeya kupitia Tabora ili kuweza kuudhuria mkutano mkuu huo.
Nawasilisha kwa sasa safarini kutokea Chunya, Mbeya.