Shabiki Geita awapa Yanga Ng'ombe wa tano

Kuna kafa jirani kabisa na hapa nilipo, nae ni shabiki wa yanga eneo alilochomwa kisu walikufa 3,, hii mipira iwe na kiasi jamani😥kaacha kichanga

Mpo kushangilia ila kuna wanaolaani na kuomboleza nao muwakumbuke
 
Kuna kafa jirani kabisa na hapa nilipo, nae ni shabiki wa yanga eneo alilochomwa kisu walikufa 3,, hii mipira iwe na kiasi jamanikaacha kichanga

Mpo kushangilia ila kuna wanaolaani na kuomboleza nao muwakumbuke
Poleni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom