Shabiki alietoka Kigoma kwa mguu

Hank_31

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
501
1,000
Wakulungwa naomba tutafute namna ya kumfariji huyu ndugu yetu.
download.jpg
 

kipozi

JF-Expert Member
Jan 23, 2015
1,113
2,000
Kuna wazee wa fursa kule fb waliweka namba ya kutuma pesa na watu wakaanza kutuma mizigo,kuja kushtuka namba haipatikani na mizigo iliyotumwa ishatolewa.
Bongo kuna watu wanaelimu pana ya upigaji.
Dah jamani watu awaogopi dhambi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom