Mimi ni mteja wa Shabiby bus service kwa muda mrefu. Kiujumla wako vzr. Mpigie meneja, yuko smart sana. Anatake action mara moja. Ishu ya muziki mkubwa usiku ni kitu kibaya in any way. Huo ni uzembe ya konda, siyo dreva, wala kampuni. Makonda wa usiku wapewe general instructions kwa usiku mziki uzimwe kwani abiria wengi wanakuwa wamelala.