Shabalala mshumaa unaozimika gafla

Shabalala mshumaa unaozimika gafla

Mi nafkiri ni mfumo Wa kocha haukua rafiki kwake anaweza akaja kocha mwingine akawa chaguo Bora katika kikosi Cha kwanza tuweke na ka akiba kidogo Cha maneno
 
Watacheza wapi hao?

Yanga huleta wachezaji wakali kama shabalala alivyo

Sasa huyo rasta aje kufagia?
Ni kawaida yenu akiwa SIMBA SC mnawaita wabovu ila wakija kwenu mnawasifia.

Kama mlikuwa mnawasifia kina Yikpe mnadhani tunawaonaje.
 
Watacheza wapi hao?

Yanga huleta wachezaji wakali kama shabalala alivyo

Sasa huyo rasta aje kufagia?
Mlivyoku mna mnanga ni uchochoro, eti leo mchezaji mkalii.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom