Elections 2010 SHABAAASH: Kura za baba na mama nimezinasa...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Aisee jana ilibidi nisherehekee na Valuu 2, pale baba aliponipigia mwenyewe na kusema 'yaani sasa sitaki tena kusikia CCM, hata mama yako amesema kura yake ni kwa Slaa. Nilijisikiliza mara 2 kama ninayosikia ni halisi, maana huyu mzee wangu aliyekuwa kada wa CCM, alikuwa haambiliki siku za mwanzo, na nilikuwa nimeshakata tamaa. Nilipomuuliza nini kimekubadilisha, anaseme amesikitishwa sana na kupanda gafla bei za vitu hasa mafuta ya kula. "Yaani tangu aje Slaa hapa, sijui alileta uchawi gani?, hakuna mtu anataka kusikia CCM, zaidi ya hawa matajiri wenye magari" alimaliza mzee wangu...
 
Ukiona hivyo wamemsnich!!kakoswa mgao!!wakampa wapembeni yake na wakati yeye ndiye aliiba kura za maoni!!hasira hizo anaweza kurudi wakimuhaidi m/kiti mtendaji!siwakuamini sana!
 
Back
Top Bottom