Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,181
- 17,654
Nilitakaga kujiunga bando la 40 k kwa mwezi Voda kipindi icho nadhani huwezi kujiunga kupitia m pesa directly lazima ununue salio kwanza, nikaweka 400k badala ya 40 k aisee waliniambia niishi nazo tu hizo vocha kibishi😃Ukikosea kwenye malipo ya mtandao ya serikali kurudishiwa hiyo fedha haiwezekani.
Nilikosea kununua umeme wa 20,000 nikaandika 200,000, niliwapigia wakamkambia wewe tumia t huo umeme huwezi kurudishiwa fedha
Mimi.pia yalinikuta nilitaka kutoa pesa kwa wakala laki moja nikakosea nikanunua muda wa maongezi laki mojaNilitakaga kujiunga bando la 40 k kwa mwezi Voda kipindi icho nadhani huwezi kujiunga kupitia m pesa directly lazima ununue salio kwanza, nikaweka 400k badala ya 40 k aisee waliniambia niishi nazo tu hizo vocha kibishi😃
Asipoelewa na hapa basi tena sasaPole sana kiongozi,
Hata hivyo hebu fikiria wewe ungekuwa unamiliki basi la Abiria; ukawa umeuza tiketi zote 50 za basi; ukawaambia wateja wengine basi lako limejaa.
Muda wa basi kuondoka abiria 5 wakawa hawajatokea na hivyo kusababisha siti zao zikaenda tupu, na hii ni kwa sababu hapakuwa na muda wa kuziuza tiketi zao; Wewe kama mmiliki ungefanyaje?
😆😆 noma aiisseeUkikosea kwenye malipo ya mtandao ya serikali kurudishiwa hiyo fedha haiwezekani.
Nilikosea kununua umeme wa 20,000 nikaandika 200,000, niliwapigia wakamkambia wewe tumia t huo umeme huwezi kurudishiwa fedha
😆😆 pole sanaNilitakaga kujiunga bando la 40 k kwa mwezi Voda kipindi icho nadhani huwezi kujiunga kupitia m pesa directly lazima ununue salio kwanza, nikaweka 400k badala ya 40 k aisee waliniambia niishi nazo tu hizo vocha kibishi😃
Sure, lakini isiwe advantage kwa wengine kwani uwezo wa kuibadilisha route ulikuwepo hata kwa kukata asilimia kadhaa kwa ajili ya usumbufuWatu wana stress sana ....many minor errors...
hivi kwanini sgr wasiweke kadi tu ukifika unaswap tu na kuingia simple..Kuna siku nilikuwa natakiwa kusafiri kuelekea Dar es Salaam kutokea Morogoro. Wakati nakata tiketi ya SGR mtandaoni nikiwa Morogoro, badala ya kuandika Morogoro kama kituo cha kuondokea, nikaandika Dar es Salaam. Hivyo, tiketi ikawa inasomeka kutoka Dar kwenda Morogoro ingawa nilitakiwa kusafiri kutokea Morogoro kwenda Dar.
Baada ya kufika kwenye kituo cha SGR Morogoro wakati wa ku-scan tiketi yangu ili kui-print, ndipo wakaniambia mbona inaonyesha Dar es Salaam kwenda Morogoro? Na wewe unataka kwenda Dar es Salaam. Nikawaambia naomba nibadilishieni route isome Morogoro to Dar es Salaam kama nilivyokusudia, wakasema hapana haiwezekani.
Kwasababu nilikuwa na haraka, kuna kazi nilitakiwa kuifanya Dar kisha nirudi Moro ikabidi nikate tiketi nyingine. Nimefika Dar nimefanya Mitikasi yangu haraka ili niwahi tena kituoni kwenda kurekebisha tiketi yangu ambayo nilikata asubuhi Morogoro ambayo ilionyesha route ya Dar – Moro kwa lengo niitumie wakati wakurudi nikaambiwa tena haiwezekani eti kwasababu imetoka kwenye mfumo.
Sasa kama ili ionekane tiketi imetumia lazima iwe scaned na yangu haikutumia kwanini sikurejeshewa pesa? Kama sio urasmu ni nini hasa?.
Hukurejeshewa pesa Kwa sababu Kuna mtu hakuuziwa Ticket Yako toka Dar es salaam to Morogoro, means Treni ilitoka Dar na Siti Yako ikiwa tupu..!Kuna siku nilikuwa natakiwa kusafiri kuelekea Dar es Salaam kutokea Morogoro. Wakati nakata tiketi ya SGR mtandaoni nikiwa Morogoro, badala ya kuandika Morogoro kama kituo cha kuondokea, nikaandika Dar es Salaam. Hivyo, tiketi ikawa inasomeka kutoka Dar kwenda Morogoro ingawa nilitakiwa kusafiri kutokea Morogoro kwenda Dar.
Baada ya kufika kwenye kituo cha SGR Morogoro wakati wa ku-scan tiketi yangu ili kui-print, ndipo wakaniambia mbona inaonyesha Dar es Salaam kwenda Morogoro? Na wewe unataka kwenda Dar es Salaam. Nikawaambia naomba nibadilishieni route isome Morogoro to Dar es Salaam kama nilivyokusudia, wakasema hapana haiwezekani.
Kwasababu nilikuwa na haraka, kuna kazi nilitakiwa kuifanya Dar kisha nirudi Moro ikabidi nikate tiketi nyingine. Nimefika Dar nimefanya Mitikasi yangu haraka ili niwahi tena kituoni kwenda kurekebisha tiketi yangu ambayo nilikata asubuhi Morogoro ambayo ilionyesha route ya Dar – Moro kwa lengo niitumie wakati wakurudi nikaambiwa tena haiwezekani eti kwasababu imetoka kwenye mfumo.
Sasa kama ili ionekane tiketi imetumia lazima iwe scaned na yangu haikutumia kwanini sikurejeshewa pesa? Kama sio urasmu ni nini hasa?.
Siku nyingine uwache uzembe nyumbani.Kuna siku nilikuwa natakiwa kusafiri kuelekea Dar es Salaam kutokea Morogoro. Wakati nakata tiketi ya SGR mtandaoni nikiwa Morogoro, badala ya kuandika Morogoro kama kituo cha kuondokea, nikaandika Dar es Salaam. Hivyo, tiketi ikawa inasomeka kutoka Dar kwenda Morogoro ingawa nilitakiwa kusafiri kutokea Morogoro kwenda Dar.
Baada ya kufika kwenye kituo cha SGR Morogoro wakati wa ku-scan tiketi yangu ili kui-print, ndipo wakaniambia mbona inaonyesha Dar es Salaam kwenda Morogoro? Na wewe unataka kwenda Dar es Salaam. Nikawaambia naomba nibadilishieni route isome Morogoro to Dar es Salaam kama nilivyokusudia, wakasema hapana haiwezekani.
Kwasababu nilikuwa na haraka, kuna kazi nilitakiwa kuifanya Dar kisha nirudi Moro ikabidi nikate tiketi nyingine. Nimefika Dar nimefanya Mitikasi yangu haraka ili niwahi tena kituoni kwenda kurekebisha tiketi yangu ambayo nilikata asubuhi Morogoro ambayo ilionyesha route ya Dar – Moro kwa lengo niitumie wakati wakurudi nikaambiwa tena haiwezekani eti kwasababu imetoka kwenye mfumo.
Sasa kama ili ionekane tiketi imetumia lazima iwe scaned na yangu haikutumia kwanini sikurejeshewa pesa? Kama sio urasmu ni nini hasa?.
Muda wa kuondoka Dar ulikuwa haujafika na ndio maana niliomba kuboresha kabla ya wakati ili wauze 💺Hukurejeshewa pesa Kwa sababu Kuna mtu hakuuziwa Ticket Yako toka Dar es salaam to Morogoro, means Treni ilitoka Dar na Siti Yako ikiwa tupu..!
Wakati mwingine ongeza Umakini kidogo.
Ni kweli wao hawawezi 7bu mfumo kwao ni READ ONLY Yaani hawawezei na wala hawaruhusiwi kuediti chochoteSure, lakini isiwe advantage law wengine kwani uwezo wa kuibadilisha route ulikuwepo hata kwa kukata asilimia kadhaa kwa ajili ya usumbufu
Pole sana kiongozi,
Hata hivyo hebu fikiria wewe ungekuwa unamiliki basi la Abiria; ukawa umeuza tiketi zote 50 za basi; ukawaambia wateja wengine basi lako limejaa.
Muda wa basi kuondoka abiria 5 wakawa hawajatokea na hivyo kusababisha siti zao zikaenda tupu, na hii ni kwa sababu hapakuwa na muda wa kuziuza tiketi zao; Wewe kama mmiliki ungefanyaje
Hakuna binadamu asitepatwa na dharura hasa kwenye safari Kama halijawahi kukuta au kukaribiana na tatizo Hilo bhas sio mtu was safari kwenye basi ishanikuta Sana kubwa wanakwambia pesa kurudi si rahisi kama safari ume cancel labda umuuzie mtu tiketi au upande basi jingine kwa sababu gani unapandishwa basi jingine ile NI kampuni na ile Siri itauzwa njiani Ila utoe taarifa kabla basi halijaanza safari wapeane taarifa njiani Kama Kuna Siri Haina mtu wakatishe tiketi ya abiria mwinginePole sana kiongozi,
Hata hivyo hebu fikiria wewe ungekuwa unamiliki basi la Abiria; ukawa umeuza tiketi zote 50 za basi; ukawaambia wateja wengine basi lako limejaa.
Muda wa basi kuondoka abiria 5 wakawa hawajatokea na hivyo kusababisha siti zao zikaenda tupu, na hii ni kwa sababu hapakuwa na muda wa kuziuza tiketi zao; Wewe kama mmiliki ungefanyaje?
Ni kweli wao hawawezi 7bu mfumo kwao ni READ ONLY Yaani hawawezei na wala hawaruhusiwi kuediti chochote
So8nakiwa ngumu kwaoW
Waboreshe mfumo kama ilivyo kwa huduma za kifedha mtu ukikosea unarejeshewa au unazuia pesa zakoNi kweli wao hawawezi 7bu mfumo kwao ni READ ONLY Yaani hawawezei na wala hawaruhusiwi kuediti chochote
So8nakiwa ngumu kwao