Sexy legs na miguu ya bia sikila miguu ya bia unaweza kuwa sexy leg lakini mara nyingi ni ndio japo ipo miguu isiyo ya bia ni sex leg ila sio yote

Hahaha kweli kabisa wangu nilimtengeza kuwa "strong woman" yani baadaye kakua akawa tiger! Yani unatafunwa muda wowote, na hamna kurudi nyuma yani! Regrets halafu ndio uzeeni sasa
Bado sijakuelewa! Ulimtengeneza awe strong kwa upande upi, Financially au? Hakuna kurudi nyuma kivipi? And Why are you regretting?
 
All round akawa sawa, then ikawa sasa nina value gani kama anaweza kila kitu? So hamnaga amani tena yani, ni kubishana kila kitu then unaambiwa fanya lolote unalotaka, hamu tu ya kuwepo nyumbani unaikosa coz muda wote inabidi uwe kimya na Tv au computer so JF inachukua nafasi yake sasa kama source ya entertainment. Regrets ni kwamba what did I do? Bora angebaki alivyokua coz angekuwa humble, kurudi nyuma haiwezekani kwa sbb unamvuaje tena? Otherwise udivorce then what? Crazy
 
Dahh kuna muda uninafika inakuwa a point of no return! Pole sana.. umenikumbusha kuna watu waliniajiri miaka iliyopita wanaishi uingereza ni watu wazima, huyo mzee alikuwa doctor kwahiyo alimchukua mkewe wakaishi huko zaidi ya miaka 20 na ni raia wa huko sasa! Sasa wakinipigia video call au call yoyote tu yule mzee akiongea kitu anashushuliwa vibaya na mkewe!kuna majibu anapewa mpaka sio poa imagine saa nyingine tunaona kwa call, anaambiwa si unyamaze niongee! basi ongea wewe, unaona kabisa naongea na wewe unaongea! Masikini anakaa kimya! Alishatenga ndugu zake wote kisa huyu mama duhh! Mpaka aibu naona mimi duhh! Kwakweli wanawake kwa upande mwingine tukimpatia mwanaume inakuwa tabu sana kwake! Imagine na wako kule inamaana hana options na ame staff kazi, anafanya tu part time from home! Saa nyingine uki msoma mtu wako ni heri umuache tu alivyo inaboa sana! Licha ya umri kuna watu hata ujanani tu ukisema ukae naye ndani siku moja tu anaobore kichizi unajikuta upo zako mitandaoni tu lenyewe lipo huko kama lipumbavu tu!
 
Ukitaka kufika mbali na mtu mtengeneze tu kama anatengenezeka kama hawezekaniki basi mvumiliane! Unakuta mwanaume anatamani wanawake wanaong’aa, wanapendeza wakivaa nguo fulani au wakisuka nywele fulani, ila kumpeleka mkewe gym au kumnunulia an hivyo vitu kama nguo,nywele na skin care hawezi!

Au unakuta mwanamke anamwanaume haogi, mchafu habadili nguo, anakula kama nguruwe n.k unaanza kufanya huyo mtu atazoea tu, kila mara mnaoga wote atapenda usafi tu, nguo zake zifuliwe aandaliwe nguo safi daily mbona vitu vinawezekana! Sema watu wengi wapuuziaji tu! Anasubiri mkaka amependeza ananukia zake kajipitia mitaa yake anaanza kumtamani hajui kila kitu kina chanzo chake!
Leo! Leo! Kazi ipo.
Umeeleza mambo mengi kinoma mpaka nashindwa nianzie wapi kujibu.
 
All round akawa sawa, then ikawa sasa nina value gani kama anaweza kila kitu? So hamnaga amani tena yani, ni kubishana kila kitu then unaambiwa fanya lolote unalotaka, hamu tu ya kuwepo nyumbani unaikosa coz muda wote inabidi uwe kimya na Tv au computer so JF inachukua nafasi yake sasa kama source ya entertainment. Regrets ni kwamba what did I do? Bora angebaki alivyokua coz angekuwa humble, kurudi nyuma haiwezekani kwa sbb unamvuaje tena? Otherwise udivorce then what? Crazy
Fanya unalotaka? Duh pole mkuu!
 
Dahh kuna muda uninafika inakuwa a point of no return! Pole sana.. umenikumbusha kuna watu waliniajiri miaka iliyopita wanaishi uingereza ni watu wazima, huyo mzee alikuwa doctor kwahiyo alimchukua mkewe wakaishi huko zaidi ya miaka 20 na ni raia wa huko sasa! Sasa wakinipigia video call au call yoyote tu yule mzee akiongea kitu anashushuliwa vibaya na mkewe!kuna majibu anapewa mpaka sio poa imagine saa nyingine tunaona kwa call, anaambiwa si unyamaze niongee! basi ongea wewe, unaona kabisa naongea na wewe unaongea! Masikini anakaa kimya! Alishatenga ndugu zake wote kisa huyu mama duhh! Mpaka aibu naona mimi duhh! Kwakweli wanawake kwa upande mwingine tukimpatia mwanaume inakuwa tabu sana kwake! Imagine na wako kule inamaana hana options na ame staff kazi, anafanya tu part time from home! Saa nyingine uki msoma mtu wako ni heri umuache tu alivyo inaboa sana! Licha ya umri kuna watu hata ujanani tu ukisema ukae naye ndani siku moja tu anaobore kichizi unajikuta upo zako mitandaoni tu lenyewe lipo huko kama lipumbavu tu!

That man ni mimi nini? Hahahah similar scenario yani maisha yanakuwa mazoea tu, sasa kwa ughaibuni ndio shida sana, bora nyumbani unaweza kuweka hata mistress mahali, huku inabidi uweke nguvu kwenye kazi za mkoloni tu ukusanye $$$ japo haziwezi kureplace missing love! I make monies, she make hers, utamwambia nini? Hata watoto wanafuata trend, unakua mgeni ndani ya nyumba yako! Living with a tiger you made by youself
 
Huyo baba atakuwa na maumivu ndani ya moyo ila basi tu anavumilia.
 
That man ni mimi nini? Hahahah similar scenario yani maisha yanakuwa mazoea tu, sasa kwa ughaibuni ndio shida sana, bora nyumbani unaweza kuweka hata mistress mahali, huku inabidi uweke nguvu kwenye kazi za mkoloni tu ukusanye $$$ japo haziwezi kureplace missing love! I make monies, she make hers, utamwambia nini? Hata watoto wanafuata trend, unakua mgeni ndani ya nyumba yako! Living with a tiger you made by youself
Hahah sio wewe ni mzee huyo mtu, na hawana watoto! Dahh poleni sana.. hivi kwanini kuwa na mistress huko ni ngumu sana? Huko pananifaa sana nisivyotaka kushea mwanaume wangu🤣
Pesa haiwezi kukaa sehemu ya peace hata siku moja! Aisee sema wanaume wengi huwa hawaongei, mi napenda sana tukifika point fulani tukae chini tuyajenge! Hayo mazoea ya kuishi muda mrefu bila kujadili mambo yanayorudisha nyuma umoja wa familia, yakikomaa mwisho wa siku ndio matokeo kama hayo sasa!
 
Kuna aina mbili za mvuto wa miguu kwa mwanamke ambazo kwa macho ya mwanaume uchangia ashiki, Uongo?.

Sexy legs ni miguu yenye mpangilio unaovutia kwa macho, ni miguu iliyojengeka vizuri, laini, na ina shape inayofanya itazamwe kwa utulivu.
Mvuto wake huwa unaamsha hisia Kali kimtindo Kila inapotazamwa ikiachwa wazi si sawa na miguu ya wanawake wote ni ya kipekee..

Wakati huo huo, miguu ya Bia ni miguu yenye ujazo mkubwa chini na mapaja yenye ujazo mdogo unaovutia japo wakati mwingine yanaweza kujaa ni Kwa wachache., ni miguu yenye mvuto au sio?
Mvuto wake huwa wa moja kwa moja, unaojionesha bila kujificha. Si kama ule WA sex leg MPAKA kujifaragua kidogo😄.

Kwa kifupi, Sexy legs huvuta kwa hasa inapokiwa wazi sana na Miguu ya bia huvutia hata isipokuwa wazi mfano ikiachiwa kidogo au MTU akivaa suruali.

Kila MTU anavutiwa na aina ya miguu je wewe uko wapi

A. Sexy Legs
B. Miguu ya Bia

PICHA KADHAA WADAU WENGINE ONGEZENI SEXY LEG VS MIGUU YA BIA NB KWANINI SEXY LEG SINKILA KIGUU YA BIA INAWEZA KUWA SEXY LEG

Nime mix miguu hapa chini sexy leg na miguu ya Bia huu wakwanza na WA mwisho ni sexy leg ya kati ni miguu ya bia

View attachment 3559117

View attachment 3559115View attachment 3559116
Umenikumbusha malaya wangu mmoja anasoma uhasibu, mtoto ana miguuu!

Ilo nundu sasa! kama Mungu alimpachika pande la nyama robo! Aisee kuna wanawake wameumbwa....chupi zinaficha mengi!
 
Hahah sio wewe ni mzee huyo mtu, na hawana watoto! Dahh poleni sana.. hivi kwanini kuwa na mistress huko ni ngumu sana? Huko pananifaa sana nisivyotanga kushea mwanaume wangu🤣
Pesa haiwezi kukaa sehemu ya oeace hata siku moja! Aisee sema wanaume wengi hiwa hawaongei, mi napenda sana tukifika point fulani tukae chini tuyajenge! Hayo mazoea ya kuishi muda mrefu bila kujadili mambo yanayorudiaha nyuma familia, yakikomaa mwisho wa siku ndio matokeo kama hayo sasa!

Mistress ni full responsiblity yani, kuna macost hutayatamani na ni illegal, so wanatumia hiyo kukufunga ili watunze siri, otherwise divorce anza naye! Tunajidanganya sana kuchukua mwanamke then umuwezeshe awe strong, mwenye akili finyu akishasogea anaanza kushindana na aliyemuwezesha na anachukua pia advantage ya kuwa mbali, na sheria pia so unakuwa prison, ukizingatia na cost of living, bills na unakuta unafanya projects bila kunuhusha so pesa yote inakua na plans thinking I can make decisions when I get done, matokeo yake unfinished projects, huna maisha, huna furaha, unafanya kazi km punda, hamna mapumziko, ukiwa off unajua tu lazima ligi mpya itaamka, so unaamua tu kutoka ukapige deiwaka hata km upo off, so vicious cycle, ukiwa home kwa kujilazimisha unapiga pombe kwenda mbele na bia hapa cheap sana hahaha (masanga) halafu jioni nayo inakuja kwa kasi
 
Mistress ni full responsiblity yani, kuna macost hutayamani na ni illegal, so wanatumia hiyo kukufunga ili watunze siri, otherwise divorce anza naye! Tunajidanganya sana kuchukua mwanamke then umuwezeshe awe strong, mwenye akili finyu akishasogea anaanza kushindana na aliyemuwezesha na anachukua pia advantage ya kuwa mbali, na sheria pia so unakuwa prison, ukizingatia na cost of living, bills na unakuta unafanya projects bila kunuhusha so pesa yote inakua na plans thinking I can make decisions when I get done, matokeo yake unfinished projects, huna maisha, huna furaha, unafanya kazi km punda, hamna mapumziko, ukiwa off unajua tu lazima ligi mpya itaamka, so unaamua tu kutoka ukapige deiwaka hata km upo off, so vicious cycle, ukiwa home kwa kujilazimisha unapiga pombe kwenda mbele na bia hapa cheap sana hahaha (masanga) halafu jioni nayo inakuja kwa kasi
Aisee! Wanume mna mapungufu yenu lakini katika mioyo Mungu aliwapa! Nikivaa viatu vyako wala siwezi.. sikufichi ningekuwa nishapangua mipango yote siku nyingi sana! Its better nianze kujenga taratibu nyumbani nikusanye mtaji nigeuze, kuliko kuforce kuishi hayo maisha i prefer peace more than anything tbh!

Unamuwezesha mtu kwa upendo tu ila malipo yake yanakutesa wewe mwenyewe duhh!! Ndiomaana kuna watu huku naona wanaanzisha maisha na michepuko tunaishia kutukana tu ukute ni halali yao wake zao wajinga!🚮
 
All round akawa sawa, then ikawa sasa nina value gani kama anaweza kila kitu? So hamnaga amani tena yani, ni kubishana kila kitu then unaambiwa fanya lolote unalotaka, hamu tu ya kuwepo nyumbani unaikosa coz muda wote inabidi uwe kimya na Tv au computer so JF inachukua nafasi yake sasa kama source ya entertainment. Regrets ni kwamba what did I do? Bora angebaki alivyokua coz angekuwa humble, kurudi nyuma haiwezekani kwa sbb unamvuaje tena? Otherwise udivorce then what? Crazy
Aisee halafu wana kazania nioe, nope nope
 
Back
Top Bottom