Sexy eyes

Sexy eyes. Naikumbuka ngoma ya Whigfield. Back in 07/08 ndio nimeanza kwenda club, Colobus kijenge ya chini. Ilikuwa inapigwa mida flani late hivi, unakuta kina Seuri wametoka Ololo wako na kagugu zao na stimu za mbinyo, hatari.

Colobus ilikuwaga yechu ujana wetu.
 
Macho legevu utadhani umevuta wida, ni kama babalita wa la mujer demivida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…