Sexualities and relationships

JLUKWARO

New Member
Joined
Nov 14, 2012
Messages
4
Points
0

JLUKWARO

New Member
Joined Nov 14, 2012
4 0
CAN TWO PEOPLE BECOME FRIENDS AFTER HAVING SEX MORE THAN OUNCE?
JE WATU WAWILI WANAWEZA KUWA WAPENZI TENA BAADA YA KUFANTA MAPENZI ZAIDI YA MARA MOJA?
Let me hear you :A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 

Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,288
Points
2,000

Hoshea

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,288 2,000
Yes they can, afu hiyo ndo safi sasa hakuna mastress, no strings attached kwa kidhungu, mnamichana afu kila mtu na hamsini zake sio kila siku lkn, sumtyms mna act kama marafiki vile story story lunch together maushauri etc. Hiyo safi saaaana
 

jouneGwalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
2,688
Points
1,250

jouneGwalu

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
2,688 1,250
Watoto wa mjini siku hizi wanasema "kiroho safi"....
Ila ule mchezo sijui una nini, mkianza tu kuushiriki kuna kitu kinazaliwa nacho ni WIVU!
Hapo ndio mgogoro mpya wa nafsi unaanza....!
 

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,050
Points
1,500

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,050 1,500
heading inaendana na mada ya ndani?

Sexuality kwani maana yake nini?

Afu nikisoma kwa kingereza na kiswahili zinanipa maana tofauti.

Nilidhani unataka kujua kama ' wanaweza kuwa marafiki baada ya kujamiiana zaidi ya mara moja?
 

Forum statistics

Threads 1,392,300
Members 528,585
Posts 34,104,057
Top