Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,431 Mar 22, 2016 #101 The Boss said: sexual tension ni kumtamani mtu na yule unaemtamani anajua na yeye probably anakutamani ingawa kikawaida hampaswi au hamuwezi kutekeleza kiu zenu Click to expand... Then unashindwa kumwambia..inakua like nani aaanze hii ishu ni true pale mtu anapofikia highest stage anashindwa kujizuia....Baaadae anajutia uamuz wake..Hivi hii imekaaaje kisaikolojia???
The Boss said: sexual tension ni kumtamani mtu na yule unaemtamani anajua na yeye probably anakutamani ingawa kikawaida hampaswi au hamuwezi kutekeleza kiu zenu Click to expand... Then unashindwa kumwambia..inakua like nani aaanze hii ishu ni true pale mtu anapofikia highest stage anashindwa kujizuia....Baaadae anajutia uamuz wake..Hivi hii imekaaaje kisaikolojia???