Sex vs Relationship

Kwanini wanawake wengi wanatanguliza kudai matunzo kabla ya ndoa?
Wanakuwa wako serious waolewaji au ndio wapo Ili mradi wapate pesa na matunzo tu?
Msaada
Safi sana, Wanawake wanapenda sana Kufanyiwa huduma zote anazostahili mke hali ya Kuwa bado hawajaolewa sasa Kama Mwanamke anajieleza shida zake Kwanini Mwanaume na yee asieleze shida zake

Kwa Kifupi pande zote zinauhitaji wa Kitu fulani kwahiyo kila mtu apambane na Hali yake

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom