Sex Partner

Hahahahaaaaa inabidi nicheke maana kulia chozi liko mbali ee Mungu tunusuru kwenye hili jahazi
 
Utasubiri sana na huwezi kumpata mwanamke wa hivyo! Wewe kazi yako kumlomba tu bila kumpa hata hela ya sabuni! Mwanamke ni sawa na bidhaa iliyoko sokoni ukiwa mkono mfupi utakufa na n.y.g zako.
 
hawa wavulana wa sikuhizi...! Haya bwana heri ya mwaka mpya
 
Utandawazi na athari zake chanya na hasi, ni mada nzuri.
 
hivi shule bado hazijafunguliwa jamani,mwanaume wa kweli mature enough hawezi andika such a trash .
kwa hiyo ww unataka upewe mzigo tu,hata ka senti ka spray,lotion utaki kutoa?.haya subiri utapata
 
hivi shule bado hazijafunguliwa jamani,mwanaume wa kweli mature enough hawezi andika such a trash .
kwa hiyo ww unataka upewe mzigo tu,hata ka senti ka spray,lotion utaki kutoa?.haya subiri utapata

Ndo mana nataka mtu ambae anaweza kusimama yeye kama yeye, am really suprised kwa wanao sema eti hutompata wa kutompa hata sent tano, that means kuwa na mtu inabidi uwe unamuhudumia! Na wew nani atakuhudumia? Kwani wote mnasoma wote mnafanya kazi sas mambo ya kuanza kuhudumia pande mbili yanatoka wapi? Au yeye pia atakuwa anakihudumia? If so mim sitaki hivyo, kila mtu abaki na zake then we will only be connected by love, not otherwise.
 
Huna akili
 
hivi shule bado hazijafunguliwa jamani,mwanaume wa kweli mature enough hawezi andika such a trash .
kwa hiyo ww unataka upewe mzigo tu,hata ka senti ka spray,lotion utaki kutoa?.haya subiri utapata
Hahaha huyu dogo mjinga sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…