Broken soul
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 459
- 131
Dem wako amesexchatishwa?ushamuita DEMU tayari!!!
Dem wako amesexchatishwa?ushamuita DEMU tayari!!!
Me nataka game, tupange date.
mi nataka gemu saa hii hii,unasemaje?Hii kitu inaniboa sana
Usichat na jinsia tofauti tu basi kosa, akikuzoea Mara aanze I want to lick u, Mara oo umevaa nini, sijui umelalaje
Jamanyy hizi social media zimenichosha coz ya hii kitu
We kama unataka game just tell me
Tupange date
Ishu za kutiana genye zisizo na mpango sio ishu kabisaa
Who invented this sh#t???
Wanaume wengi ndo wenye tabia hii
Guys tuheshimiane kama sio Dem Wako kwann umsexchatishe??
nani aunt yako wewe lol usiniwekee kauzibe hebu sogea njiani!!Aunt mambo!!!!!
Naomba nikusexchatishe!!!!
Acha uongo ww naona una imaginations kubwa!!sweety u look nice today..!! Can I..?
nani aunt yako wewe lol usiniwekee kauzibe hebu sogea njiani!!
alaa sikujua kumbe pale ukinisemesha mie he he he!!weekend njema tu mpendwa!!niambie za kwako?Mhhhh! haya banaaa LOL!!!!....Mzima weye!? Habari za weekend?
alaa sikujua kumbe pale ukinisemesha mie he he he!!weekend njema tu mpendwa!!niambie za kwako?
Nimefurahi kusikia hivyo rafiki!Niko poa kabisa namshukuru Mungu, hapana nilikuwa naweka tu baadhi ya mazungumzo niliyoyaona kule FB ya wapendanao. Aisee tafuta muda ukaangalie Gravity, Escape plan (humu kuna ngumi za kufa mtu kama hupendi ngumi, basi cheza nayo mbali) na Captain Phillips hizi zote tatu ni bomba sana.
Acha uongo ww naona una imaginations kubwa!!
Who told you i want any magic stick?kichwa chako kimejaa hewa naona!gael....am real... I got that magic stick...
Oouppss