Sex and marriage with robots

Sex and marriage with robots

Binadamu kweli hatuna shukurani
Shukrani gani mkuu unazungumzia hapa?
Kwa kutengenezewa hiyo midude?

Unajua idadi ya wanawake duniani ni kubwa kuliko wanaume?

Halafu tuongezewe na robot halafu unataka tushukuru?

Alaaniwe aliyeunda hayo makitu...
 
Hapa kuna yaliyofichikana nyuma ya pazia.

Tumesikia takwimu nyingi kuwa idadi ya wanawake duniani ni kubwa kuliko wanaume,labda 1:4.

Halafu wanatengeneza robot wanaume wamalizie kwao matamanio ya kimwili,sisi wanawake tuende wapi kama sio kizazi cha lesbians kinapikwa hapa?

Haya makitu ni mpango maalum.
 
Nilisema hatuna shukrani baada ya post yako ya mwisho ukisisitiza

"Robot moja ikikaa kaa vibaya unatafuta robot ingine ya kuchepuka
 
Hapa kuna yaliyofichikana nyuma ya pazia.

Tumesikia takwimu nyingi kuwa idadi ya wanawake duniani ni kubwa kuliko wanaume,labda 1:4.

Halafu wanatengeneza robot wanaume wamalizie kwao matamanio ya kimwili,sisi wanawake tuende wapi kama sio kizazi cha lesbians kinapikwa hapa?

Haya makitu ni mpango maalum.
Nasisi watatutengenezea ya kwetu.
 
Teh teh...kulikoni hayo ni bora nifungulie mende...

Au ni test ile pully ya nzi nayo kama ita work effectively kama wale wadau...

Yaani niko busy nimekumbatia lirobort, haki ni utaahira fulani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa wanaume wanaochepuka hovyo unamnunulia mmoja siku anasafiri unamfungia kwenye bag.
 
Nasikia yanamiguno kama 60 yaan utasika miguno ya Beyonce, rihana, Kate de runa nk hatare
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom