Siwezi kamwe kujali mahusiano ya aliyekuwa hawala yako
Ukiona mwanamke amesema hivo ujue anakudanganya, badala yake ataangalia kwenye Instagram na Facebook ya hawala yako ili aweza kujua kama yeye yuko moto moto kuliko hawalayo na pia ataendelea kufikiria hisia zako juu ya hawalayo na kama zitakuwa sawa au zaidi kwake.
Kingereza sijui sembuse kiswahili
Teh