Seven reasons why some of Degree holder are Poor

Seven reasons why some of Degree holder are Poor

Viburi ni moja tatizo kubwa linalowatesa wanaoitwa wasomi nchi za dunia ya tatu, wanahisi wao ndio wana deserves every good thing kuliko wengine, in return wanaishia kuwa na wivu sana kwa watu wenye mafanikio amabao hawana hizo degree.
cha kushangaza hizi ngomo ni nadra sana kukuta nchi za ulaya amabzo hii elimu tunayoitukuza wao ndio waliotuletea.
 
Neno la leo kutoka kwa huu uzi, "Think outside the box"
 
Back
Top Bottom