Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,566
- 4,013
Ajali hiyo imetokea Jumamosi Agosti 24, katika kisiwa cha Mallorca baada ya ndege ndogo na helikopta kugongana zikiwa angani
Watu watano wakiwemo watoto wawili walikuwemo ndani ya helikopta na watu wawili walikuwemo ndani ya ndege wakati ajali ikitokea katika mji wa Inca ndani ya kisiwa
Polisi imeeleza kuwa ajali hiyo imetokea majira ya saa 7 mchana na sasa kipaumbele kipo katika kutambua waliofariki ili familia zao zipewe taarifa
Kampuni ya usafiri wa helikopta ya Ujerumani, Rotorflug imethibitisha kuwa moja ya ndege zake imepata ajali katika kisiwa hicho maarufu kwa ajili ya mapumziko ya likizo
Aidha, Rais wa visiwa vya Balearic vinavyojumuisha kisiwa cha Mallorca ametoa siku 3 za maombolezo huku Kampuni hiyo ya helikopta ikisema chanzo cha ajali bado hakijajulikana
******
Seven people were killed Sunday when a helicopter and a small plane collided in the air above the Spanish island of Mallorca, authorities said.
Five people, including two children, were in the helicopter, and two adults were in the plane when the accident happened at Inca, an inland town on the Mediterranean island, the Balearic Islands government said on Twitter.
"The priority is to identify the seven confirmed victims and to assist their families," Balearic Islands President Francina Armengol said on Twitter.
The accident took place around 1:50 p.m. local time, Mallorca police said.
German helicopter operator Rotorflug confirmed one of its aircraft had crashed on the island, a popular vacation destination for Europeans, CNN affiliate RTL reported.
"The cause of the crash is still totally unclear," the company said in a press release, according to RTL.
The president declared three days of official mourning for the victims.