Mkuu labda unge elezea zaidi tatizo lako kama ni version ipi ya kaspersky na kuichakachua vp apo maelezo hayajitoshelezi... ukielezea zaidi wataalum watakusaidia ni hayo 2 mkuuJamani kama kuna mtu anayefahamu jins ya kuchakachua kas per sky naomba atusaidie