Mfanyakazi Hodari
Member
- Feb 4, 2013
- 14
- 0
Kama kuna mtu anazo settings za internet za mtandao wa Airtel naomba anipatie.
Kama kuna mtu anazo settings za internet za mtandao wa Airtel naomba anipatie.
- Je ni settings kwenye simu au PC
- Kama ni simu ni kuweka APN tu ambayo ni neno internet
- Fafanua zaidi ili upate msaada stahili
Na cm km ni smartphone zote lzma uende oficn kwao coz wanafanya manually, waliniboa sana
Sio km mitandao mingine
mbona mi cjaenda ofcn kwao na iko poa tu
Samsung, GT S5301
Ok.
Cjui ndo hizo hizo!!!s4...bt huwezi Amini nikiweka mitandao mingine fresh ila eatel ndo hivyo ndo ni Kaambiwa mpaka niende.nikaenda wakafanya manually ndo ikakubali na niliwailuza wakasema ndo utaratibu wao.
Ss cjui