cheeter JF-Expert Member Apr 19, 2011 475 155 May 26, 2012 #1 naombeni configuration settings za Tigo ili nijiunge na internet kwa simu ya kichina.. inlude: APn: Primary Dns: Secondary Dns: Ip address: Thanks
naombeni configuration settings za Tigo ili nijiunge na internet kwa simu ya kichina.. inlude: APn: Primary Dns: Secondary Dns: Ip address: Thanks
K karatta Senior Member Apr 2, 2012 109 46 May 26, 2012 #2 Kama Upo Dar Nenda Mliman City Tigo Watakuunganshia Bure,voda Na Airtel Wanazngua
sop sop JF-Expert Member May 2, 2012 325 35 May 26, 2012 #3 ni PM na vocha ya voda ya tsh 3000 nikupe mambo ,haina haja ya kwenda mlimani city
Parata JF-Expert Member Jul 26, 2011 3,090 675 May 26, 2012 #4 sopsop said: ni PM na vocha ya voda ya tsh 3000 nikupe mambo ,haina haja ya kwenda mlimani city Click to expand... kzi imeanza buku tatu tena hahahaha
sopsop said: ni PM na vocha ya voda ya tsh 3000 nikupe mambo ,haina haja ya kwenda mlimani city Click to expand... kzi imeanza buku tatu tena hahahaha
mathematics JF-Expert Member Feb 21, 2012 3,323 1,105 May 27, 2012 #6 tuma neno "internet nokia 6030" kwenda 15300, utafuata maelekezo ya kusave settings, hapo unakuwa umedanganya aina ya simu yako ni nokia 6030 na setting zitakuaj bila wasiwasi na zitafanya kazi,
tuma neno "internet nokia 6030" kwenda 15300, utafuata maelekezo ya kusave settings, hapo unakuwa umedanganya aina ya simu yako ni nokia 6030 na setting zitakuaj bila wasiwasi na zitafanya kazi,
LEGE JF-Expert Member Oct 14, 2011 5,123 9,168 May 27, 2012 #7 Kama unasimu ya kichina ni voda pekee ndio huwa wanakubali kuunga net kiurahisi kutokana na ip adress nizijuazo mim
Kama unasimu ya kichina ni voda pekee ndio huwa wanakubali kuunga net kiurahisi kutokana na ip adress nizijuazo mim
mkayala JF-Expert Member Feb 25, 2009 555 72 May 29, 2012 #8 wala usihangaike,piga tigo namba 100 kisha endelea hadi uongee na watoa huduma,atakuunganisha line yako moja kwa moja,hakuna haja ya setting
wala usihangaike,piga tigo namba 100 kisha endelea hadi uongee na watoa huduma,atakuunganisha line yako moja kwa moja,hakuna haja ya setting