Sethi: Tegeta Escrow namwachia Mungu


Chanzo: Mtanzania

MAONI YANGU
Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu na ufisadi wa serikali ya CCM. Huyu tapeli angeitapeli serikali makini kama ya China, angekuwa ameishageuka mbolea kitambo sana. Serikali hii dhaifu kamwe haiwezi kuwaletea maendeleo watanzania. Sote ni mashahidi jinsi wabunge wa CCM akina Hawa Ghasia, Asumpta, Kombo (mzee wa ASHKI), Kibajaji, na wapayukaji wengine walivyosimama kidete kumtetea MWIZI huyu.
:israel:
 
Hii Nchi imeshajitotea,jambo tusilolijua wengine Ni kuwa wenzetu wameshaanza kugawana mbao........Maskini Tanzania,s's inatishwa hata na mlio wa nyau.......huu udhaifu Mnyika aliuona zamani tukasema kijana hana nidhamu.
 
Hutakaa uone!! CAG, PCCB hawana lolote kwako!! wewe ni mfaidika wa huu wizi nina uhakika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…