vijana wa mengi fisadi mla vyakupewa jaziba siyo tija sheria zipo hawezi kutaifishwa kama anataifishwa pikipiki unajua neno mtambo lakini hii siyo redio one bana.
Anamuachia Mungu utapeli wake? Mbona haelezi jinsi alivyowachenga wenye mamlaka ktk kuuziana hisa mpaka akakwepa kodi?
TRA wameanza kumshughulia analeta mayowe akafie mbele.....
Kumbe hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa?
Bora amuachie Mungu!
Kumbe hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa?
Bora amuachie Mungu!
Sethi ni Mhehe wa Iringa
Sethi ni Mhehe wa Iringa
Unasema kweli huyu bwana keshakimbia!?Kama alikuwa hana makosa kwanini amekimbia?Hii ya kutishia kwenda mahakamani,labda kama MAHKAMA za TANZANIA ambazo MAHAKIMU wake wanapokea zawadi toka kwa WATUHUMIWA.Lakini asilogwe akapeleka kesi mahakama za kimataifa vitaibuliwa na vilivyozikwa kwa muda.
Nafuu akubali kuondoka wala asirudi tena.
Pili kama ni MTANZANIA na uchungu na Nchi yake kwanini alifanya UFISADI wa aina hii,na kwanini asiendelee kubaki bongo wote tukawatunaisubiria saga alilolitengeneza?
Ninauhakika wachumia tumbo wote AG,PM,JK,Chenge & Coy ndiyo waliomwambia aondoke na yawezekana alisaidiwa kuondoka ili yakiisha haya arudi.
Ninamtahadharisha asilogwe arudi yaani labda RAIS awe PINDA au MUHONGO
Ndio mkuu...sethi ni mzaliwa wa kilwa nanjilinji
Unasema kweli huyu bwana keshakimbia!?
Si kweli, ni wa Iringa...
Akiwa Kenya anasema yeye ni Mkenya, akiwa South Africa anasema yeye ni Muafrikana. Tapeli huwa anapenda umuone ni ndugu yako kama sehemu yake ya kufanikisha kukutapeli.
Ova
Kumbe Sethi ni Mtanzania??? Nilikuwa sijui hili....
Bora umuachie Mungu, Kwani CCM tunaipenda na tunataka kiwe chama tawala kwa miaka mingine 50.