kkarumekenge
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 1,708
- 1,030
Kwanza wajue kwamba hata hao wanaowaibia Mungu wao ni huyohuyo!Wezi na wanasiasa ni wazuri sana katika kumtaja Mungu, huyu siyo wa kwanza kusema hivi hata Idd Simba, Omary Nundu, Msabaha na wale jamaa wa City Water walipoondolewa ilikuwa hivi hivi
Ah Mtanzania? fuatilia goldenberg scandal ya kenya. Kenya Ilifilisiwaje na KANU kufa? Mhusika ni nani tafuta habari usikurupuke!!
Tena mwanachama hai na mfadhili mkuu wa chama cha map..........FaizaaaaHHH!!!!!!!!!??????
Kama hutojali, naomba uiweke tena hapa historia ya huyu mtu!!!
Hilo lisikustuwe hata Sabodo anafadhili CCM na Chadema vyote kwa pamoja na deal zake mpaka leo ni za EPA na hakuna anaeweza kunyanyua mdomo.
Pengine Sethi hana makosa. Hii kesi haitajulikana ukweli wake mpaka JK atakapoachia ngazi na kukamatwa.
Anamuachia Mungu utapeli wake? Mbona haelezi jinsi alivyowachenga wenye mamlaka ktk kuuziana hisa mpaka akakwepa kodi?
TRA wameanza kumshughulia analeta mayowe akafie mbele.....
Kama alikuwa hana makosa kwanini amekimbia?Hii ya kutishia kwenda mahakamani,labda kama MAHKAMA za TANZANIA ambazo MAHAKIMU wake wanapokea zawadi toka kwa WATUHUMIWA.Lakini asilogwe akapeleka kesi mahakama za kimataifa vitaibuliwa na vilivyozikwa kwa muda.
Nafuu akubali kuondoka wala asirudi tena.
Pili kama ni MTANZANIA na uchungu na Nchi yake kwanini alifanya UFISADI wa aina hii,na kwanini asiendelee kubaki bongo wote tukawatunaisubiria saga alilolitengeneza?
Ninauhakika wachumia tumbo wote AG,PM,JK,Chenge & Coy ndiyo waliomwambia aondoke na yawezekana alisaidiwa kuondoka ili yakiisha haya arudi.
Ninamtahadharisha asilogwe arudi yaani labda RAIS awe PINDA au MUHONGO

Sikiliza kijana hayo fatilia wewe.
Hapa tunaongelea escrow account ambayo ni fedha iliyowekwa humo kwa sababu ya utata zilipwe ngapi. Sasa hayo ya Kenya mwenyewe kishayajibu hapo juu.
Halafu usisahu kuwa juzi tu wamekamilisha mazungumzo ya kuzalisha umeme Kenya au hulijuwi hilo? pitia hapa:
http://www.habarileo.co.tz/index.ph...52-iptl-kupeleka-megawati-2000-za-umeme-kenya
Kumbe hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa?
Bora amuachie Mungu!
Mmmmmmhhh kumbe sio ajabu!!
[/COLOR]
Hapo kwenye rangi nyekundu hapo kwani bado mnauwa watu kama mnavyofanya siku zote kwa kutumiwa na hao mafisadi.
Fuatilia wewe ajuza usituletee majambazi wa kimataifa hapa!! Hivi nyie magamba mtaacha lini kukuwadia raslimali zetu? soma number KYC signal from Stanbic
jibu jepesi sana amekimbia kwasababu nyie kupitia mengi na mkono mnataka kumdhuru kwa umafia wenu.
Si mlimkaribisha wenyeweKumbe Sethi ni Mtanzania??? Nilikuwa sijui hili....
........asikilizwe yeye redio?Kumbe hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa?
Bora amuachie Mungu!