Service ya Gari,nitumie oil na hydraulic gani?

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,694
wadau,nilishauriwa nitumie BP kwa engine oil pamoja na hydraulic,lakin naambiwa castrol ndo nzuri,naombeni ushauri
 
wadau,nilishauriwa nitumie BP kwa engine oil pamoja na hydraulic,lakin naambiwa castrol ndo nzuri,naombeni ushauri
ndio maana kuna wakati kutumia kingereza ni muhimu wala usingepata shida ya kuja kuuliza hapa.

Kuna consultation na hear says. sijui wewe hapo unachaguwa lipi kati ya a na b?

halafu tanzania kuna puma hakuna bp.
 
Use the right tool for the right job! Wapelekee wahusika wa hizo kazi wao watajua watumie ipi sio kila kitu ubahili ubahili toa mgawanyo wa kazi kwa wajasiliamali wenzako..nao wapate ya kuhudumia jamii zao.. Matola uko sahihi sana
 
Last edited by a moderator:
nilisikia puma wana ofa,ni wapi naweza pata maeneo ya ubungo? Sio ubahili ila kila kitu unachofanya jitahidi kutunza pesa kwa quality inayokubalika
 
nilisikia puma wana ofa,ni wapi naweza pata maeneo ya ubungo? Sio ubahili ila kila kitu unachofanya jitahidi kutunza pesa kwa quality inayokubalika
Hiyo unayosema "ulisikia" na wakati huo huo hukuelewa inanipa picha hupendi kushughulisha akili yako.

Sasa kama Puma wana ofa unatarajia wauzie wapi kama sio kwenye vituo vyao vya mafuta??
Nimecheka ulipoitofautisha oil ya puma na castrol.

Peleka gari kwa fundi umwache afanye yake.....
 
wadau,nilishauriwa nitumie BP kwa engine oil pamoja na hydraulic,lakin naambiwa castrol ndo nzuri,naombeni ushauri

'well,kwa uzuri au ubora kila moja ni bora ila ubora hizidiana kwa bidhaa na bidhaa mkuu na pia unaangalia mfuko wako uko vp wee fanya yako tu ustake kumuiga tembo eti k.a.n.y.a kinyesi kikubwa na wee unye 'NO' check ur pocket and budget too.

Na utajuaje oil ya kwenye gari ambayo uliweka service iliyopita imefanya kazi vizuri au vile inavyotakiwa mkuu...?,kazi ya oil kwenye engine ni kulainisha na kupunguza msuguano sasa utajuae kama msuguano ulikuwa kwa kiwango gani kwenye tangu last service ulivyoweka oil...?,unapofungua koki ya kumwagia oil jaribu kuiomba na uitazame huwa ina magnet kwa inayovuta patikoz za chuma baada ya msuguano kama engine imesuguliwa vya kuosha na vipande ni vingi basi unashauri kubadili oil usiweke uliyoweka mwanzo coz haikufanya kazi inavyotakiwa ila kama sumaku haijaa vyuma oil ilifanya kazi vizuri.

Kwa kawaida haishauriwi kibadili oil tu kwa kila service mpaka uwe na sababu inayokupelekea kufanya hivyo labda kama ni gari mpya na ndio service ya kwanza basi weka oil ambayo unajua kwa mda wote itakuwa ndio chaguo lako na utakuwa unatimia hiyo labda kama Itakuwa haijafanya kazi vizuri lakini basi kama si mpya haishauriwi kubadili oil tu vile utakavyo wewe,mkuu'
 
wadau,nilishauriwa nitumie BP kwa engine oil pamoja na hydraulic,lakin naambiwa castrol ndo nzuri,naombeni ushauri

bp imekuwa PUMA.....na vilevile PUMA hao hao wanatumia lubricants za CASTROL......obvious waliokwambia walikuwa wanabahatisha!! mimi natumia TOTAL...ila aina ya gari na matumizi yako ni muhimu kujua utumie aina gani ya oil. gari yenye TURBO inatumia oil tofauti na gari isio na turbo hasa diesel.
 
Bro nakuelewaga, hubahatishi.
So, kwa gari za turbo unashauri ipi hasa kati ya castrol na total?
 
Back
Top Bottom