Server ni mdudu gani

kwa nini usijitolee kufundisha maana una juhudi sana. Hongera!

Aksante mkuu trough kufudisha na mie pia ninaelimika si unaona ile LDAP. Sababu nikichemsha hapa najua mwenye uelewa atanimbia hapana hiyo sio hivyo ni hivi na hivi.

Otherwise ndio haya matumizi ya faida ya internet kufidishana inawezakana kwa "virrtual class" mwalimu yuko kahama mwanfunzi yuko Dar teh teh teh

Mtazamaji nashukuru kwa darasa la nguvu!! Ki-ukweli nimejifunza mengi katika post yako.nimeweza kuona server,database,backup nk.wakati naendele nimeona nibaki katika somo moja S erver nakwakuwa kuna server nyingi mail server,print server,webserver nk mimi naona nibaki na somo la WEBSERVER kwanza.pengine webserver ni tool/softwr muhimu katika uhifadhi wa mambo yanayohusu www.kama tulivyojifunza hapo juu.

.... Kutokana na hayo hapo juu napenda niulize hatua muhimu za ujenzi wa website. Kati ya server na makorokoro yoote yanayo kamilisha site nini cha kuanzia hatua kwa hatua.au baada ya kupata sever nini kinachofuatia cpanel au?

Sasa nitajitahid kwa kiswahili na msaada wa madesa ya google, bing na wikipedia nikichanganya na za kwangu kufafanua aina na majukumu ya server chache moja baada ya nyingine. Pale itakapobidi nitatoa viunganisho vya reference kwa watakapenda kuchimba na kuchimbua zaidi....... kama kawa .... kuponda , kukosoa na kupenda kukanarisbihwa nisije ni kawalisha watu kasa teh teh teh

enhee Tuendeleeeee

Teknoljia ya ICT ilipofikia sasa program zinateganiswha na data. na data zinatengansihwa na kanuni za biasharaau ofisi( Business logic) Kwa kitaalma kuna makundi yainaitwa N -archtecture .

kitu hiki ni cha muhimu kwa mtu yeyote anatengeza application kisasa. Na kwenye taasisis nyingi Mifumo yao mingi ya computer sana sana iko katika Two tier au three tier archtecture. Muundo huu inasaidia sana.

Layer tatu kuu zinazotumika kudesign application ni PRESENTATION, LOGIC au kwa jina lingine BUSINESS Logic na DATA. Kama uko kwenye ofisi iliyo na server na wewe sometime unashidnwa kufanya kazi zao za kiofisi server ikiwa na matatizo basi ofisi au shirika lenu linatumia moja wapo ya archetucture hizi. kwa maelezzo zaidi unaweza kuanza kwa kusoma hapa  na hapa bila kusahau daraja la maarifa google.

Machoro chini unaonyesha computer system archtecture mbili kuu zainanzotumika kwenye makampuni na mashirika mengi

Two tier archtecture Threee Tier archtecture

Sasa ufafanuzi wa aina ya sevrer.

DATA base server- iwe ni shirika binafsi, serikali , CIA, Mosad , Dafatari la mpiga kura, Kitambulisho cha Taifa, ATM, facebook ni muhimu :-

kuhifadhi data ili ziwe salama , zisipotee, yaani security.

kuwe na copy moja ya data inayotumika ili kusiwe na haja marekebisho kwa kila copy na kuondoa uttata na dublication . Jiulize ingekuwaje kama kila tawi la benki lingekuwa na kumbu kumbu zake kuhusu wateja????

Data Ziwe rahisi kupatikana na kutumika wa watu wengi wakati mmoja kwa kutumia network. Mfano mtu akichomoa fedha kwenye accout yake kwa utumia ATM na wakati huo huo kuna mtu kadeposit fedha wenye account hiyo hiyo akiwa tawi jingine lisitokee tatizo

Sasa umuhimu wa data ndio umesabaisha uwepo na database sevrer amabyo yenyewe kazi yake ni kuweka data tu. Sasa kutofatisha server nyingine na database sever ni kuwa database server kama MYSQL, SQLSERVER ORACLE , zina sifa ya kiteknini kama

ACID

Vile vile Zote hizi tatu ni kundi la Database linaljulikana kama Relational Database na msingi mima wa Relationa database ni uhusianao wa table moja na nyingine unaojengwa na concept za Primary key na foreign key

kwa hiyo shirika au kampuni linaweza kuwa na aina nyingi ya server lakini seva ya muhimu na crtical ni ile yenye data ambayo ni database sever . Cables za ubaloz wa USA ziliibiwakutoka kweye database server sababu kuna mtu alipata acess right kwa njia halalai au zizoso halalai then akazichukua katika soft copy..............

nawasilisha

Thanx

Mtazamaji nashukuru kwa darasa la nguvu!! Ki-ukweli nimejifunza mengi katika post yako.nimeweza kuona server,database,backup nk.wakati naendele nimeona nibaki katika somo moja S erver na kwakuwa kuna server nyingi mail server,print server,webserver nk mimi naona nibaki na somo la WEBSERVER kwanza.pengine webserver ni tool/softwr muhimu katika uhifadhi wa mambo yanayohusu www.kama tulivyojifunza hapo juu.

Somo la webserver litachanganywa na somo la databaseserver wa kiaisi fulani Sababu webserver nyingi za kisasa data zake zinakaa kwenye database server. Mfano hizi post na comment tunazoona hapa jamii forums, au kwenye blogger data zake zinehifadhiwa kwenye database. kwa hiyo ingawa lengo kuu ni kujua mambo ya webserver itabidi kidogo mwazoni kugusia na kuelezana database server........ Lakini kama nia ni kutengeneza ka-website kadogo ambako haiiitaji mtu kutoa comment au kulogin au habari zake hazitaji kubadilishwa kila siku then tunaweza kuendelea na webserver bila kuhitaji database.

.... Kutokana na hayo hapo juu napenda niulize hatua muhimu za ujenzi wa website. Kati ya server na makorokoro yoote yanayo kamilisha site nini cha kuanzia hatua kwa hatua.au baada ya kupata sever nini kinachofuatia cpanel au?

OK nawza nisufuate mtiririko wa kishule shule lakini hatua muhimu zinatagema mamb mengi kwa hiyo tutafanya assumpetions ili Somo lisiwe refu na kuchosha sana
• Kama una webserver na database server yako hapo ulipo nyenzo utakazo hitaji ni tofauti na yule mwenye websever iliyo mbali na alipo eg marekani au UK au UCC. Kwa case yetu webserver na database ziko mbali kwa hiyo moja ya nyezo muhimu tutakayohitaji ni FTP - Hii itasadia k uyarusha mafile kwenye websever na kuyachukua kuyarudish akwenye cmputer yako hapo kwako pale utakapohitaji kufanya marekebisho kwenye code fulani fulani. Kuna FTP solution kibao lakini ninayotumia binafsi ni FILEZILLA

• Kuhusu CPANEL ( Control panel) Hao jamaa wa X10 hosting amabo ndio umewachagua kuhost webserver na database seerve yako freee watakuwa wamekutumia details za jinsi ya kuingia kwenye Control panel ya Webserver yako.
kuna username na password amabazo ukiingiza kwenye link ya CPANEl basi unapata ukurasa ambao una detail kibao na za muhimu kuhusu webseever yako na Database na FTP . Hii CPANEL ni nyenzo muhimu sana itakusaidia kuratibu na kumanage webserver na Databaser server yako. . Sasa sijui link waliyokupa kuingia kwenye webserver yako ni ipi kama ni hii https://starka.x10hosting.com:2083 jaribu kuingiza user name na password yako uone kama utaingia. Kama wamekupa nyingine tumia hiyo kuingiza sussername na psd.

Then baada ya hapo tunaweza kujaribu kuweka ka-ukurasa simple tu kwenye tovuti yako then kuendelea na somo kwa undani zaidi. Maana mpaka sasa tovuti yako inaonekana hivi Welcome to x10Hosting!. Hii ni kwa sbabau kwenye websever yako hakuna file zozozte ulizweka .

ok mkubwa mpaka sasa nimefika hapa
. zedy.JPG
na hapa
sasagoo.JPG
nadhani hapa ndo tunaweza kuendelea.

Client Account Information account .............
contact email .............................................
support requests ....................................
email history ......................................

Forum Account active username ..............

Free Hosting active username fishers ..

Attachments

• pia hii.bmp
2.3 MB · Views: 37
Back
Top Bottom