server in virtualbox inside window xp

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
972
Reaction score
441
Msaada wakuu ninataka kufanya instalation ya cent os ndani ya win xp ikiwa na virtualbox sasa nilichokuwa nataka kukijua ni kwamba nina modemu ya zte unlocked inawezekana kupata static ip address in cent os na kama inawezekana naweza acces my server with another stand alone pc?
 

bila kujali kwamba unatumia server OS gani au katika mazingira gani. Swala la IP ADDRESS kuwa static na huku unatumia USB MODEM sio uamuzi wako kwani tambua unatumia DHCP ya huyo ISP na yeye ndio mwenye Address allocation pamoja na LEASE durations na RANGE etc. Labda kama utaitumia hiyo server kama GATEWAY then unaweza kuipa static IP lakini sio IP ya modem.
 

Hapo lazima uende kwa ISP kama TTCL,Raha broadband wakupe Static IP adress ambazo pia wanaziuza
Smile 4G wanatoa ila masharti yao ununue kifurushi cha thamani ya miezi ya sita
Zantel nao wanaweza kukupa hiyo huduma at a cheaper rate ila utakua confined kutumia cdma
 

nimekuelewa naomba unielekeze bac
 

kwani smile kifurush cha miezi 6 ni shingapi? na hakuna njia ya ku convert dynamic kuwa static na iyo app niyakulipia?
 
nimekuelewa naomba unielekeze bac

ushauri wa bure sema una matumizi gani na hiyo server
maana kama ni for learning purposes get assured you can get even a server ya kulipia every hour at a cheapest rate
 
nimekuelewa naomba unielekeze bac

kama mdau mwingine alivyosema. Static IP zinatolewa kwa request maalum kutoka kwa ISP. Kuna ISP wanaotoa free lakini wengine wanagharama za ziada. njia rahisi hapo ni kutumia internet ambayo ni reliable zaidi kama vile TTCL,SMILE,SMART,HABARI NODE. hao wanaweza kukutatulia kirahisi zaidi kuliko hawa voda na usb modem yao
 
ushauri wa bure sema una matumizi gani na hiyo server
maana kama ni for learning purposes get assured you can get even a server ya kulipia every hour at a cheapest rate

ndio nataka for learning purposes nitapataje hata iyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…