Seriously

Taifa letu

Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
25
Reaction score
7
Rais hajui kuwa tatizo la ajira lina madhara makubwa kwenye chaguzi zijazo yaan hata viajira 800 ni shida kutoa mpaka anaona bora kuachia wafungwa!!!!....nakukumbusha tu midege Kule namanyere na nkasi hawazijui!! Hutaki hata kulisha ng'ombe siku ya mnada!!!
 
Kwa hiyo mkuu unataka alishe ng'ombe siku ya mnada.
 
Tiss+Nec+PT+Wakurugenzi+DC+RC
ndo maana hana presha ata mkifaa njaa watu mil 1 ata mkikosa ajira watu mil3 ata mkafunga biashara watu mil5 uhakika wakurudi white house ni 100%.
so calm down komaa na hali yako dont stress up your self life is too short.
 
..Kuna Uchaguzi na kuna kupiga kura..Uchaguzi aliyeshinda anapewa Ushindi wake lakini kupiga kura hahahahahahah..unaweza kupiga ila wakahesabu kwa kupunguza..
 
Hapa demokrasia imeshakula kitanzi,Kilichopo tukae matanga kujiliwaza ,lakini matumaini ya merehemu kufufuka haipo tena
 

Attachments

  • download (1).jpg
    2.4 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…