Wapendwa wana MMU
Mimi naiona JF chungu siku hizi bila badiebey yuko wapi??
Uzuri na ubaya wa JF hatujuani ukweli lakini kuna watu wengine we care about others kikwelii!!
Moneystunna yuko wapi badiebey? Nimemtumia PM hajajibu siku ya 4 sasa and am curious and worried!! Namba yake ya simu sina!!
Anaemjua please mwambieni nyamgluu is hurting and worried!!
Heee!! Wewe yupo honeymoon !!!