Seriously...seriously...seriou sly

hakyamama hiv vijana wa kume siku hizi mkojeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh!

Nahisi kuna sehemu wazazi tunakosea katika malezi ya watoto hasa wa kiume. Tusiporekebisha kizazi kijacho kitakuwa na wanaume wachache sana!!!
cc. Heaven on Earth gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
hahahaha Matola kunasehemu walikuwa wamebandikwa?
 
Last edited by a moderator:
usijali gfsonwin ndio kazi ya ushauri hiyo..
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa ushauri wenu na feedback baada ya kufuata ushauri wenu ntaleta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…