Seriously nimekata tamaa ya maisha.

Seriously nimekata tamaa ya maisha.

Leo ndo nimejua...! Kumbe jf kuna watu wazuri. Mi nilijua ni kejeli na matusi tu. Nimefurahi sana the way wachangiaji walivyo mtia moyo kijana.

Hii ndio jf. Ukija na matakataka utaambulia matakataka. Ukija vizuri utapaona pazuri.

Inshort jf imesheni wataalam wa kila nyanja na wako dunia nzima. jf imefika sehem zote duniani na ina uzoefu karibu wa kila kitu kilichopo.

Kwahiyo ukileta ukauzu kuna makauzu zaidi yako.....

Uingiavyo ndivyo utakavyoambulia na kutoka nacho.

Kwa wewe mleta uzi, maneno ya faraja uliyopewa unaweza ona ni faraja na nadharia...tulia soma taratibu na chochote utakachoweza kukifanyiakazi katika ushauri huo kichukue na anza fasta kukifuatilia...huwezi amini mlango mmoja ukifungwa, mwingine unafunguka....changamka jf itakuonyesha mlango wa pili. kila la kheri!
 
When one door is closed many more are open for you!!
Acha kukata tamaa mkuu.
 
Back
Top Bottom