Mkuu nakuo0mba usikate tamaahabari za jioni wanajamvi.naombeni maombi yenu nimeachishwa kazi bila kosa, yaani nimekata tamaa na maisha,ukizingatia ilivyo kazi kupata kazi,najiuliza cjui nimemkosea nini mungu,najiona sina bahati katika dunia hii.
If one door is closed another is open
Mkuu nakuo0mba usikate tamaa
Hujui Mungu amekuandikia nini, inawezekana kakuepusha na majanga makuu lakini huwezi jua na inawezekana wewe kuondoka hapo ndio kufungua milango mingine ya mafanikio.
Always mshukuru Mungu kwa kila litakalokutokea maishani na ninaamini iko siku utarudi hapa jukwaani kutuambia kuwa neema imefunguliwa kwenye maisha yako
Jamaa mbona hasemi alikuwa anafanya kazi, ameachishwa kwa misingi ipi. . . .mbona ameleta kilio chake hadharani lakn hataki kujibu queries