Borakufa
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 1,503
- 390
Mie nikiangalia umri wa Lubuva na haya mambo ya ICT sitegemei kitu pale....
Ataajiri watu! yeye yupo pale kusimimamia inawezekana tu kwani kaanza vizuri juzi nilimshuhudia mwenyewe akimkoromea Andangenye kwa nini polisi wengi hapa arumeru mashariki? "Unatisha wapiga kura" Ande akamjibu mzee "wasiliana na wakubwa zangu mie natekereza tu hii ni amri"
So inaelekea Lubuva anataka kuwa strong anataka support ya wananchi basiiiiiiiiii