TabletFellow
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 918
- 274
sio kila taarifa ya JF ni genuine....... open your eyessasa unamwambia nani wakati free masoni ni chama cha siri a hujielewi mdau
Kiranga unaweza kuthibitishaa Wakatoliki wanamwamin Mungu na supernatural?Naamin wewe ni great thinker,fanya uchunguz kabla ya kusema.no reseach no right to say.Kimsingi Freemasons kwangu hawana tofauti na watu kama Wakatoliki, tena Freemason - the part that is publicly known- wako more altruistic kuliko Wakatoliki - the part that is publicly known-.Wote wanaamini mungu na the supernatural, and that does not impress me much.Unless unataka kuwatumia kupanda ngazi, which is cheap and despicable, sioni watakuwa na jipya gani.
Tamaa mbaya sio kila unachokiona unatamani uwe nancho. Kaka kasikilize tena wimbo wa 20% tamaa mbaya kisha urudi hapa tena
.The Priest, freemasonry is the culture freemasons follow. Mzee Mwafrika, unaweza kutuambia kwa nini unataka kujiunga na dhehebu hilo? Unajua kwa hakika ni maadili gani freemasons hutetea? Nimeona documentary kuhusu freemasonry ambayo imenifundisha kwamba kujiunga na hili dhehebu si rahisi. Utahitaji subira na uvumilivu nyingi kwani ni mchakato mrefu. Utaulizwa maswali nyingi pia kwa freemasons kabla ya kupokewa kama new member kwani they'll want to make sure they can trust you. Ni lazima pia umepita umri wa 18. And that's pretty much all i know...Be careful with sects and the like though! It can be extremely dangerous if you don't know what your doing.
.Uoga mbaya sana...wengi mna hofu ya msichokifahamu..mi niko curious na hayo maswala na niko serious so kama kuna wa kunisaidia ani pm kama huna ishu...........
These are just frustrations/stress in Life.
What this guy needs is just a psychologists.
I gues we have plenty here, they can assist.
.
Freemasons is not religion, its just a society of people, everyone comes from his or her religion. there are lot of secret society inside the Freemason, they dont believe in Heaven God, they believe in earthly god, Lucifer.
Kiranga unaweza kuthibitishaa Wakatoliki wanamwamin Mungu na supernatural?Naamin wewe ni great thinker,fanya uchunguz kabla ya kusema.no reseach no right to say.
Mwenye mwongozo anisaidie....