Serious: Wapi nitapata water pump zinazotumia solar power?

Serious: Wapi nitapata water pump zinazotumia solar power?

House of Commons

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
2,189
Reaction score
2,206
Wanajf, help me pse, natafuta mahali yalipo maduka yanauza water pump zinazotumia solar power. Nisaidien, tunahitaji mashine 20, you can pm me also for sharing

Help me immediately
 
Cheki na Alibaba mkuu kwenye internet kila info zipo kiganjani kako.
 
Jaribu Davis&Shartlif (spelling inawezekana nimekosea) ila wapo pale makutano ya kamata - kaliakoo
Wanajf, help me pse, natafuta mahali yalipo maduka yanauza water pump zinazotumia solar power. Nisaidien, tunahitaji mashine 20, you can pm me also for sharing

Help me immediately
 
Sio lazima upate zinazotumia solar tu, unaweza nunua zinatumia umeme wa kawaida yaani ac, kisha ukanunua vifaa vyako vya solar na ukanunua inverter ambayo hubalisha umeme wa solar kuwa wa kawaida yaani ac, na shughul zako zikaendelea kama kawaida, kwa msaada zaidi ni pm.
 
PM mbona nyingi hivi? wekeni hadharani hata mimi nawezavutiwa nikanunua, nilikua natafuta ya umeme ile ya kudumbukiza ktk kisima kirefu switch inakua nje unabonyeza tu inapump, sasa mkiweka hadharani tunaweza vutiwa wengi, sasa kilamtu pm dah,
 
Back
Top Bottom