Serious? Or gone insanity?

Duuuh, hii kali ya mwaka. He must be a psychiatric case!!! He needs immediate Referral to Milembe for Rx.
 
Teh Teh Hashimu ni king'ang'anizi kama Lowasa vile....
 
Hashimu yupo kwenye ubora wa hali ya juu bora wampatie tu mzee yupo vizuri kotekote....teh!teh!teh!
 
Hahahahaa
Inawezekana huyu mzee ni multitalented?
 
tokea kugombea urais hadi kuwania ukocha!! huyu zaidi ya lowasa.

aridhike na cheo cha ukuu wa familia...
 
Huyu ni muuza magari wa siku nyingi sana kabla ya hata akina Africarier hawajaanza, naona vihela vya mtaji wa magari vinamnyevua nyevua.
 
Huyu mzee atakuwa anaumwa epidomea disease
 
Aliwahi kusema angechaguliwa kuwa rais angeanzisha kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya Helicopter!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…