Nataka kuoa, actually mtu wa kusaidiane naye maisha! Nina watoto 4, wa3 nilizaa nikiwa chuo tena field, huyo mwingine kazaliwa ana mwaka sasa, ila hao niliozaa nao wameolewa, ila mmoja bado, familia na mimi pia siwezi kuishi na huyu aliyebaki!
Nahitaji mwanamke serious wa kufanya maisha, asiyetaka kuzaa tena, nina elimu nzuri tu, pia nafanya kazi kampuni binafsi.
Kama upo serious inbox....
Bora angesema "anatafuta yaya"dah! mwanaume ukikukuruka sana basi uwe na mmoja tu.
...unahitaji mke au UNICEF?
Suruali ulivaa na wengine, sahivi unatafuta wa kumvalia msuli
pagumu hapo bora angekuwa mmoja..
kwanini usichukue mmoja uliyezaa nae?
BAZAZI tafuta yaya
sasa si useme unatafuta managing director wa kuleana??
wee kiatu uvae na halima mie univalie kandambili inahusu kweli??
dah! mwanaume ukikukuruka sana basi uwe na mmoja tu.