Good Morning!! N kweli kabisa magari hayo yote mnayoyahitaji upo uwezekano wa kuyapata, ila kitu ambacho siwezi nikawadanganya n kuhusu bei, hakuna bei maalumu ya gari lolote lile, gari ambalo mtu anaweza akapata leo kwa m 9 kesho anaweza akapata mwingine kwa m 7. Kwa nini inakuwa hivyo!!! Hiyo inakuwa kutokana na Mfumo wa uuzaji unaotumika(mnada), magari yote yako bandarini, mimi siuzi magari bali ninachokifanya ni kuwasaidia watu kupata magari kwa unafuu zaidi!! Hakuna ujanja ujanja wote unaotumika kila kitu kinaenda kisheria na kiuwazi zaid!!! kwahiyo aliye serious tuwasiliane kwa maelezo zaidi, karibuni sana, Good Morning!!!