Serikari yakosa laki 8 kwa siku Mwenge Stand ya zamani

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,771
7,138
Wana JF,

Serikali inapoteza Tshs laki 8 kila siku, fedha zinaingia katika mikono ya watu, Mnyetishaji mmoja alinipeleke baa moja amayo utumika kugawana mapato hayo ambayo yangetumika kuongeza maendeleo mengine lakini yanaishia mikononi mwa watu, tangu kuvunjwa kwa kituo na kukihamishia Makumbusho, vijana ambao awali walikuwa wakihusika kukusanya ushuru wa mabasi, waliungana na wazee fulani ambao wanadai kuwa ndio wenye mwenye , wale vijana wenye miili miraba miwil , ukusanya kial mtu elfu, moja hadi elfu 2 kufuatana na biashara unayofanya. Wale wenye mabanda ya kuhamisha yenye muundo wa mabati hufika hadi elfu tatu kwa siku. Nilipojaribu kumdadisi mmojawawapo ambaye ni cha pombe, anakuambia walipoamisha kituo hali ilikuwa mbaya sasa hiviwanhamasisha liwe gulio kubwa kwani wanakusanya fedha nyingi. Juzi walipitisha greda kupasafisha sehemu moja ya barabara, hiyo ilionekana kuwapunguzia kipato kidogo kwani wanaopanga jioni kuanzia saa kumi hadi saa tatu wanachelewa wanaanza saa kumi na moja na kutoa tshs 500 tu. Haujulikani wapo nyuma ya nani. ila hawa jamaa wanapiga hela.
 
Back
Top Bottom