Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,870
- 3,210
Tangu clouds ivamiwe na mkuu wa mkoa wa Dar, topic kubwa imekua ni tukio la kuvamiwa kwa kituo hicho.
Lakn sijaona mkazo wa kuongelea kilicho sababisha kituo hicho kuvamiwa na mkuu wa mkoa huyu.
Mpaka yeye anachukua wazo la kuvamiwa kituo kuna kitu kilimpelekea kufanya maamuzi hayo. Bila shaka kilicho mpeleka mkuu wa mkoa kuvamia hapo kilipaswa kuwa main topic lakn cha ajabu kuvamiwa imekua ndio topic!!
Kwanini mkuu wa mkoa alivamia kituo cha clouds? Hakuna asiye jua kuwa ni baada ya jaribio lake la kutaka kumdharirisha mchunganji Gwajima kuonekana kutaka kugonga mwamba.
Sasa kwann tukio la maandalizi ya kumsingizia binadam mwenzetu halipewi uzito lakn tunatoa uzito kwa kuvamia kituo peke yake??
Ingekua kile kituo ni kama duka la kubarisha pesa na mtu katengeneza noti feki kamtuma kijana wake kubadirisha , wenye duka wakagundua ni noti feki . Baada ya jaribio kushindwa na wenye duka kushikilia zile noti , ingekuwaje wangetoa taarifa kwa umma kwa kuvamiwa na mtengenezaji wa noti feki huyo na kisha kwenda kuzibadirisha kwingine?? Je serikali isinge mtafuta mtu huyo?? Kukaa kimya kwa serikali wamebariki njia hiz za kudharirishana??
Kumbukeni hili tukio ndio chanzo cha nape kufukuzwa uwaziri sio tukio dogo hata kidogo??
VIONGOZ WA DINI.
Kwa viongoz wangu wa dini mbalimbali. Mmekubali kuwa kimya bila kukemea huu upuuzi wa kiongozi mwenzenu kudharirishwa bila kusema lolote? Mbona safari hii mmekuwa walinzi msio kemea maovu?? Hili tukio ilipaswa muungane tena kwa dini zote! Nyie tunajua ni wawakilishi wa Mungu. kusingiziwa kwenu ni kumtukana Mungu mnaye mtumikia.
Kipindi hiki cha magufuli nani kawaroga?? Mmekua na meno lakn hamng'ati. Tuwaeleje?? Hivi mnajua huku mtaani tuvyopewa kesi za uongo?? Imekua kama desturi na ndio maana mpaka imeenda kwa viongoz wakuu wa serikali hadi kuwafikia nyie. Tafadhari amken viongoz wangu. Huu mpango ungekamilika mnadhani Gwajima angekua na hali gani?? Ndoa yake ingevunjika, kanisa lake lingesambaratika. Je hii ingekua sawa??
Maovu gani mtakayo kemea kama sio haya??
Sijaona popote yule mama akihojiwa kwa kukubali kutumika si police wala chombo chochote cha haki za binadamu. Taifa gani hili lisilo heshimu utu wa mwanadamu?? Utu wa Gwajima ni utu wetu!! Hata kama wanasema yule mtu ni kichaa ana utu wake unapaswa kulindwa na serikali.
Kwann wengine wamtumie kwa masrahi yao? Pana jambo kubwa sana kwenye tukio la Gwajima kusingiziwa kuzaa na yule mama. Na kwa sababu tumekaa kimya kesho tusije kushangaa mtu akasingiziwa kumuua mwenzake kwa malengo ya mtu kumpoteza mwenzake.
Watu walisingiziwa madawa ya kulevya tulikaa kimya. Ile ni kesi kubwa huenda ingenikuta mimi ningekua jera mpaka sasa. Wamesingiziwa kubaka mke wa mtu tumekaa kimya sasa wataandaa ya kuua au kuwa magaidi sijui ndio tutaamka hata sielewi. Nani aliye kemea lile tukio?? Serikalini, msikitini au kanisani??
Swali kwa wana JF , kuvamiwa kwa Clouds na kusingiziwa kwa Gwajima lipi ni tukio kubwa??