Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 738
- 478
Serikali Zanzibar yaiomba Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kudhibiti matumizi salama ya vyanzo vya mionzi nchini
Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema hayo alipoweka jiwe la msingi la ofisi ya maabara ya Tume hiyo kwa Zanzibar, huko Dunga Zuze, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Dk. Mwinyi alisema Taifa linatumia teknolojia ya nyuklia katika Nyanja mbalimbali na kueleza sayansi na teknolojia ya nyuklia ina manufaa makubwa ikitumiwa vizuri, itasaidia kuongeza kasi ya ukuaji wa sekta mbalimbali za uchumi ikiwemo kilimo, mifugo hususan ng’ombe.