Side buggati
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 229
- 181
Hivi kwanini serikali ya Tanzania imetoa kipaombele kikubwa kwa mashilika haya ppf na nssf kulipa mafao ya wanaich mpaka miaka 55.swali hivi mwananchi wa kawaida anayefanya kazi kw mkataba mfupi anafaidaka vipi na hudumu hii zaid ya kuwaongezea umasikin wananch wa chini Serikali aitend haki ya kuwashilikisha wananch kulijadili suala hili kiundani sisi tunaofanya kazi ktk kampany binafsi ndo kabisaa autafaidiki na azma hii